Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,251
- 44,586
Karibu Mzee Mwenzangu, Mkuu Mzee Mwanakijiji , maana wewe ni miongoni mwa my inspiration kujiunga jf, hivyo kila nikikuona nafarijika sana, na unapokengeuka, naumia sana!.Na. M. M. MwanakijijI
Inawezekana kweli wa moja available mbili na aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Tukubali kuwa hawana uwezo maana kama hadi sasa bado hawajui hekima ya uongozi watajua lini? Watu wasiopima yanayotoka midomoni au matendo yao watapimiwa na nani...?
Wakubali yaishe?
Mzee hadi wewe? Hiyo "kha" inatumikaga sana na madem hasa humu kina cocastic Kapeace Lamomy Bantu Lady To yeyeNa. M. M. Mwanakijiji
Hata mtoto asipotulia kwenye mbeleko unamshusha bana kha!
Nafikiria mama anapenda sana " second chances "..ila aliwahi kusema ukimzingua....Karibu Mzee Mwenzangu, Mkuu Mzee Mwanakijiji , maana wewe ni miongoni mwa my inspiration kujiunga jf, hivyo kila nikikuona nafarijika sana, na unapokengeuka, naumia sana!.
Inawezekana ni kweli hawana uwezo, ila pia mambo kama haya ya hire and fire kila uchao, pia yanatuonyesha uwezo wa mamlaka ya uteuzi, tukisema hizi ni early signs of incompetence tutakuwa tunamuonea?, na baada ya kuzibaini hizi early signs, bado tuu 2025 tuenende...?, niliwahi kuliulizia hili humu Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?
P
Wabaki wabunge tu ili wajipange na waoneshe wanaweza kuongoza bila kuwa mawaziri.
Plausible deniability.Raisi Samia ameona siyo suala la uwezo bali kuwaondolea majaribu ya kutumia uwaziri kujijenga majimboni kuelekea 2025.
Hivyo madogo wamezingua!, yule dogo wa BK yeye kosa lake ni nini?.Nafikiria mama anapenda sana " second chances "..ila aliwahi kusema ukimzingua....
Kwa ufupi ni kwamba hawana uwezo. Wamefika hapo walipo kwa sababu ya mbeleko. Ukiwataka wakuonyeshe accomplishment yao angalau hata moja kwa vipindi vyao vya uongozi, kusema ukweli hawana.Tukubali kuwa hawana uwezo maana kama hadi sasa bado hawajui hekima ya uongozi watajua lini? Watu wasiopima yanayotoka midomoni au matendo yao watapimiwa na nani...?