Nini kinakufanya usifikiri kinyume chake?
Hajawahi kusema atastaafu baada ya miaka mitano au kuweka katiba ya wananchi. Ni watu tu mnamsemea.
Nini kinakufanya usifikiri kinyume chake?
Ndio maana mwisho wa siku jibu lao ni "kuitoa tu CCM madarakani mengine baadaye". Kumbe wakati huo huo wamechukua CCM, mgombea wa CCM na wanachama wa CCM wenye kumuunga mkono mwana CCM mwenzao ambao waliapa kuwa "alipo" na wao "wapo"!
Wenzetu mnaoimba na kushabikia "mabadiliko" yajayo, hivi hamjioni kuwa tayari mmebadilika? Vinyonga wa kisiasa?
Fikiria.
MMM
Ndugu yangu pole na kuwa na mawazo mgando. Umeshindwa kuwa "Progressive" wewe kila siku ni mawazo ya'Ugomvi' au 'Uchokozi'. Watu wanatambua kuwa Lowassa na akina Ulipo tupo sio malaika.
Hivyo toa michango INAYOJENGA acha kuwa mnadharia, wakati wananchi wanakosa elimu na bado wakufa kwa kukosa maji safi halafu watu wajichukulia hela za Escrow kwa Lumbesa. Wewe unaweletea ngonjera.
Wewe hili dubwasha chaka la majambazi utalitoa vipi na mirija ya kunyonya damu, iliyojichimbia miaka na miaka bila kuwa tumia CCM wenyewe?
Hajawahi kusema atastaafu baada ya miaka mitano au kuweka katiba ya wananchi. Ni watu tu mnamsemea.
Tumebadilika, Yes! Tunataka tubadilishe kila kitu around us!
Hajawahi kusema atastaafu baada ya miaka mitano au kuweka katiba ya wananchi. Ni watu tu mnamsemea.
Poor analysis. Kwani huyu Katibu mkuu alitoka wapi? Sio CCM? Sasa ana tofauti gani na hawa watanzania wengine waliojiunga na CHADEMA sasa? Lowasa kwa sasa ni mwanachama wa CHADEMA na kadi alipewa mbele ya macho ya watu wote. Ana haki ya kugombea urais kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA na ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mabadiliko yanatakiwa ni kuitoa CCM na mfumo wake madarakani. Kama hujakubali hulazimishwi, wengine wamestaafu siasa. Hii ni demokrasia.
Una mawazo kama ya kwangu.Vimeoza vyote tunatakiwa tuchague kimoja period.
Tetesi za kwamba ulizaa na Josephine katoto kanakoitwa Slaa Jr zinazidi kupata ukweli. Hii ni kutokana na tabia yako ya kulia lia baada ya Josephine kukosa u first lady.
Mungu wetu ni mkuu na mwaminifu kwetu, kiasi cha kutubadilishia mgombea... Kwa akili za binadamu isingekuwa rahisi. Mungu alijua Josephine angeinajisi Ikulu...
Asante Mungu kwa kutuongoza vyema..... Lowassa for presidency