Swali la ufahamu: katika hifadhi huwa kumetengwa eneo la makaburi ya wanyama wanaokufa?

Wanataka kutupoteza tu maana hizo pembe zinatosha kufanya DNA test
 
Wanataka kutupoteza tu maana hizo pembe zinatosha kufanya DNA test
Kweli kabisa,pembe inatosha

Chukua DNA iliyo katika pembe ya komando johnie,chukua DNA kutoka miili ya watoto wa johnie(wale faru watoto)ingiza kwenye mtambo,zisipo match au zikimatch utaanzia hapo.

Si kweli eti mzoga ndio una the correct DNA kuliko pembe,hata unywele tu unaweza kutofautisha DNA,hata jasho tu inatofautisha DNA!

Na DNA inakuwa sahihi kwa asilimia 99.9

Sasa kuunda tume ya kuusaka mzoga wa komando johnie ni kutafuta ugomvi na fisi ambao wana tenda ya kufanya usafi mbugani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…