Swali la udadisi: Kwanini Kikwete... Migiro.... 2006?

Swali la udadisi: Kwanini Kikwete... Migiro.... 2006?

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
1,935
Reaction score
1,006
Jakaya Kikwete alipochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2005 mwishoni, mwaka 2006, Januari, mwanzoni kabisa alitangaza Baraza la Mawaziri (ambalo hadi sasa ndilo pekee liliovunja rekodi ys kubwa kupita yote toka Uhuru wa Tanganyika, Mapinduzi ya Zanzibar, kuundwa kwa Tanzania ).

Siku alipokuwa anatangaza Baraza hilo kuna maeneo alikuwa makini (serious) na mengine alifanya mizaha, mfano pale alipomwita Steven Wassira, "Tyson" huku akiwa anacheka.

Alipokuwa anataja jina la Dr. Asha-Rose Migiro alibadilika usoni kidogo, kupata haiba siyo ile ya utani. Kilichofuata ni kutamka " usizime simu yako, ninaweza kukupigia wakati wowote hata usiku".

Swali, kwanini Rais Kikwete alitamka hadharani akiwa na haiba ile mara tu alipotamka jina la Dr Asha- Rose Migiro, tena kwa Migiro pekee?

Ikumbukwe, awali Migiro alikuwa ni Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Wanawake, Jinsia na Watoto ktk Serikali ya Rais B. Mkapa; anajua utendaji kazi Serikali.
 
Hata alipokuwa UN alikuwa akiwasiliana kwa simu na Kikwete mara mbili kwa siku. Jazia mwenyewe mambo waliyokuwa wanaongelea. They are closer than anyone can imagine.
 
Hata alipokuwa UN alikuwa akiwasiliana kwa simu na Kikwete mara mbili kwa siku. Jazia mwenyewe mambo waliyokuwa wanaongelea. They are closer than anyone can imagine.

Duh!! Mmhh!!
Kwanini basi?
 
Wale walikuwa wanajuana kwa vilemba tangu dada anafundisha pale mlimani!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa sisi wengi, watu wenye kuweza kuwa na mahusiano yasiyo ya kawaida, utawajua kwa kuwatazama kwa macho tuu.

Kati top ladies wote, count out Mama Migiro na Mama Tibaijuka!, Hawa wamefika walipo kwa merits only!. Nothing more, nothing less!. Waliofika walipo fika kwa kubebwa, wanajulikana, na waliofika kwa kupandia migongo ya watu wanajulikana na waliofika walipo kwa kukaa mguu upande pia wanajulikana!.

P.
 
Back
Top Bottom