Swali la Uchokozi

kikilo

Senior Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
114
Reaction score
70
Juzi nilienda mahitaji yangu ya nyumbani katika shoprite moja nchi ya kigeni, nilihudumiwa na shoga (gay). katika nchi hii wao wameruhusu huo uchafu wa ushoga na lessbian. Nilipolipia mahitaji yangu wakati naondoka nilishindwa kushukuru maana nilipatwa na "dilema' niseme 'Thank you sir or thank you madam!" Mimi mungu anisamehe nawachukia sana hawa watu wanaofanya mapenzi ambayo jinsia moja. Je wewe lingelikukuta ungesemaje?
 
Just THANK YOU would be enough...Na mara nyingi wahudumu wengi wanakuwa na ID´s au nembo ya jina lake kifuani kwahio ungemwambia tu THANK YOU FULANI(JINA LAKE)
 
Just THANK YOU would be enough...Na mara nyingi wahudumu wengi wanakuwa na ID´s au nembo ya jina lake kifuani kwahio ungemwambia tu THANK YOU FULANI(JINA LAKE)
Nafikiri Predispositions zangu kwa watu wa aina hii imechangia nishindwa kusema!
 
Kwani ni lazma niseme asante!!!...ningelipa na kusepa
 
teh teh teh....hivi nina mwimbaji gani yule aliyeweka kibwagizo cha "Hapo mwisho hapo...."?

There are currently 13 users browsing this thread. (5 members and 8 guests)


 
Kikilo, (Samahani lakini), Wewe ulijuaje kuwa huyo ni shoga?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…