BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
Habari wakuu
Kati ya maswali ambayo nimewahi kujiuliza lakini sijapata majibu, ni hili... Kwanini hasa watu wanaoa?
Je wanaoa ili wapate watoto? Je huwezi pata watoto bila kuoa?
Je wanaoa ili wapate ngono ya uhakika? Je usipooa huwezi pata ngono ya uhakika?
Je wanaoa kwakuwa wamechoka kufua, kupika, kuosha vyombo, kufanya kazi zile Zinazoitwa za kike? Je bila kuoa hayo mambo hayawezekani?
Au wanaoa kwa kuwa wazazi, ndugu na jamii inayowazunguka inawataka waoe?
Au pengine watu wanaoa kwa kuogopa ukiwa? Je kuoa ni njia pekee ya kuukabili ukiwa?
Je unaoa kwakuwa muda umefika? Miaka 18, 25, 30, 40 n.k
Naomba mnisaidie bandugu kupata majibu ya hili swali.
Duh.... Hatari. Kwahiyo mtu asiyeoa hatafika utimilifu wa unaume wake?Naoa ili kufikia utimilifu wa akili yangu maana kuweza kuishi na kiumbe huyu ndo utimilifu wa akili hipimwa
Najua kupika, najua kufua kuliko hata yeye. Kama ni kugegeda tu wapo wengi tu, kama ni kuzaa napiga mimba na nalea mtoto kama vile makonda anavyokusanya
Sababu yangu kuoa ni ili nifikie utimilifu wa akili ya kiume niliojaliwa na Mungu
Haya majibu... [emoji12]Tunaoa ili tuwe mwili mmoja[emoji16][emoji16]
Kugegeda , kumpa mimba na kulea ni tofauti sana na kukaa na mwanamke kama mke wakoDuh.... Hatari. Kwahiyo mtu asiyeoa hatafika utimilifu wa unaume wake?
Wakati anapiga mashine kama kawa. Analea kama kabahatika kupata mtoto/watoto?
Ana handle changamoto zote let's say anazoletewa na mpenzi wake au mzazi au wazazi wenzake.
Kwahiyo wewe unao ili ukutane na hizo changamoto... Okay, hongera.Kugegeda , kumpa mimba na kulea ni tofauti sana na kukaa na mwanamke kama mke wako
Kumbuka ndugu zake watakutambua na changamoto zao ni tofauti na kuwa pekee yako
Ndugu zako na wazazi wako wayamfaham mkeo kukaa nao ni changamogo
Majirani , marafiki zako na jamii itajua wewe ni mume kuishi katika hayo ni kuhakiki utimilifu wa akili pasipo utimilifu wa akili hakuna kuoa au kuolewa
Maana kama ni kuzaa bila mke waweza , kufua hakuandikiwa mwanamke , kupika halikadharika
Kuoa ni kipimo cha utimilifu wa akili ya mwanaume kuishi na kiumbe cha hisia kilichotoka kwake
Lala nkuchapeSamahan nimekosea njia[emoji126] [emoji126]
Pole..Samahan nimekosea njia[emoji126] [emoji126]