SWALI LA TAFSIRI

SWALI LA TAFSIRI

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
225
Reaction score
215
wewe kama mfasiri wa lugha wakati mwingine yawezekana ukakosa visawe kabisa visawe vya istirahi za lugha chanzi yako katika lugha lengwa yako hali hiyo ikijitokeza inatakiwa kuunda istirahi yako mwenyewe .fafanua sifa sita za istirahi hizo zitakazoundwa.

JAMAN NAOMBEN MWENYE MAJIBU YA HILI SWALI ANISAIDIE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom