Jamani Vatican ni nchi kamili....wao hawaiti rais bali mkuu wa nchi ambaye ni Papa Benedict XI....Tukija kwa Nyambari hilo si swali la kitoto. Ni muhimu sana kufahamu tuna mahusiano mazuri ya kidiplomasia na nchi ngapi duniani. Twaweza dhani ni swali la kitoto lakini linapokuja suala la uhusiano kimataifa ni vema kufahamu nani na nani ni marafiki zetu.
Tukuyu hakika umejibu kisomi, ama wengine walikuwa wanababaisha. sasa swali la mh mbunge lijibiwe na hao walio muona kauliza swali la kitoto.