swali la leo

swali la leo

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
Ipi ni afadhali kufunga mtaa na kuweka maturubai wakati wa msiba au kupiga muziki mchana na usiku kucha wakati wa msiba?
 
Inategemea na msiba umeuchukuliaje na hasa kama ndo mfiwa mkuu. Kama mtu kateseka sana mi nitaweka kigodoro ila kama ndo ghafla tu kigiza chama2lubai ndo pake!
 
mbalila.Nahisi kuna ukweli na jibu lako.Tusubiri majibu mengine
 
Last edited by a moderator:
Inategemea na msiba umeuchukuliaje na hasa kama ndo mfiwa mkuu. Kama mtu kateseka sana mi nitaweka kigodoro ila kama ndo ghafla tu kigiza chama2lubai ndo pake!
Hivi siyo ni usumbufu kwa majirani muziki mkubwa usiku na labda kwa usiku 2 au 3 kucha na kufunga barabara siku 2au 3?
 
hakuna hata kimoja cha maana hapo vyoye sio sawq kabisaa
 
Back
Top Bottom