de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,685
- 23,364
Soon they're gonna care.They don't care
They don't have souls these mfs
Soon they're gonna care.They don't care
Waongeze nguvuZimebaki siku 10
Lilitoka Tarehe 10 July 2026.
sasa si wamuachie chapchapu hata sasa? Muda unakimbia sana, hiyo jumuiya haitaniiBado kidogo sana kutimia
We kijana mbona una maswari magumu magumu. (Sisi wananchi alitukosea nini)Ikiwa ameishinda Jamhuri ataondoka gerezani?
Kama alifungwa na Jamhuri na Jamhuri ni sisi raia, kwani sisi raia alitukosea nini?
Wana taasisi imara lakini ukiwa na dalili za kuingilia ugali wa watu lazima wakulipue.Angalau kule kuna taasisi imara sio kama huku kila kitu maelekezo kutoka juu na umungu mtu wa haya matawala batili
Trump yupi?Trump amenyooka, hawezi kuiweka jela "akili kubwa" bali ataitumia
Siyo lazima wewe, wenye nchi.Ikiwa ameishinda Jamhuri ataondoka gerezani?
Kama alifungwa na Jamhuri na Jamhuri ni sisi raia, kwani sisi raia alitukosea nini?
Sometimes KARMA works in disguise 🥸!Unajua huwa naajifikiria how these people are ruining their reputations.
Labda wa kule Nzuginaminzi au kijijini Mwamapalala 😳 !Trump yupi?
Mkuu endelea kuwakumbusha hawa wapumbavu kuwa siku zao kuishi hapa Tanzania zinahesabika4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA NI AIBU