Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 654
- 1,305
Watanganyika bila kuamka huyu bibi amedhamiria kuifuta Tanganyika ipotee kabisa au atuachie migogoro na vita vya wenyewe kwa wenyewe: Soma comment ya mdau:
Hajawahi kuwa na dini yoyote muuajiHv mwislamu kusherehekea siku ya kuzaliwa c n kosa, au afanyalo mwislamu sio kigezo cha Uislamu inavyotaka 😂
Lkn hua tunamwona akienda msikitini, Au Hua anaenda kucheza taarabu Huko?Hajawahi kuwa na dini yoyote muuaji
Ni kusaka attention tuLkn hua tunamwona akienda msikitini, Au Hua anaenda kucheza taarabu Huko?
Tupia hili swali kwa Mwaipopo na Bakwata.Hv mwislamu kusherehekea siku ya kuzaliwa c n kosa, au afanyalo mwislamu sio kigezo cha Uislamu inavyotaka 😂
HATA RAIS TRUMP AMEGEUZA SIKU YAKE YA KUZALIWA KUWA SHEREHE YA KITAIFAWatanganyika bila kuamka huyu bibi amedhamiria kuifuta Tanganyika ipotee kabisa au atuachie migogoro na vita vya wenyewe kwa wenyewe: Soma comment ya mdau:
View attachment 3535302
Sasa ww mswahili, Trump anakuhusu nnHATA RAIS TRUMP AMEGEUZA SIKU YAKE YA KUZALIWA KUWA SHEREHE YA KITAIFA
MBONA YEYE MNAMUABUDU???
Zati bichi is Muslim in name only (MINO)!Lkn hua tunamwona akienda msikitini, Au Hua anaenda kucheza taarabu Huko?