Swali la kizushi!

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Hivi Grey Mgonja alikuwa anampa maelekezo lowassa?

Yaani maelekezo kutoka mamlaka ya juu yalikuwa yanapitia kwa Mgonja na sio lowassa?

Tuendelee kutafakari!
 
Hv ukimtuma mtoto wako afikishe ujumbe wako kwa mtu fulani na akakurudishia majibu yaliyo nje ya matakwa yako utasema mtoto ndiyo ameamua?
 
Hivi Grey Mgonja alikuwa anampa maelekezo lowassa?

Yaani maelekezo kutoka mamlaka ya juu yalikuwa yanapitia kwa Mgonja na sio lowassa?

Tuendelee kutafakari!
Huu ni uvivu wako tu mdogo , Mgonja yupo ungemtafuta ukapata ukweli kutoka kwake
 
Hivi Grey Mgonja alikuwa anampa maelekezo lowassa?

Yaani maelekezo kutoka mamlaka ya juu yalikuwa yanapitia kwa Mgonja na sio lowassa?

Tuendelee kutafakari!
Masuala yanayohusu fedha ni ya Wizara ya fedha ambayo mtaalamu wake ni Katibu Mkuu na sio Waziri mkuu!
 
meningitis mkuu nakuomba tu upumzike na uipe akili fursa ya kuwaza mambo mengine......huu uhuni uliotokea leo unatupa shule ya kujikataza kuwa mfuasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom