Swali la kizushi

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Kutokana na vitabu vya dini kusema "Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama ni chema sana" na mojawapo ya alichofanya ni kuumba "BANGI" je ni sahihi serikali kurundika watu magerezani kwa kosa la bangi?
 
Ni sahihi kuwekwa ndani kwani wanaitumia kimakosa.
Hiyo ni dawa nzuri sana kwa wagonjwa, baada ya kurekebishwa na wataalam.
Nyie madogo mnatumia hovyo hovyo ndo maana mnakuwa machizi!
 
Sidhani kama mtu anarundikwa ndani kwa KOSA LA BANGI, labda kwa matumizi mabaya ya bangi!
 
Buddy! Arumeru, Tarime pamoja na maeneo mbali mbali watu watakamatwa kwa kulima tu bangi bila kujali ikikomaa itatumikaje
 
Ni sahihi kuwekwa ndani kwani wanaitumia kimakosa.
Hiyo ni dawa nzuri sana kwa wagonjwa, baada ya kurekebishwa na wataalam.
Nyie madogo mnatumia hovyo hovyo ndo maana mnakuwa machizi!

How come watu wakamatwe kwa kosa la kulima bangi ka issue iko hivyo (refer Tarime mkoani mara na Arumeru mkoani Arusha)
 
Umepewa akili uitumie we unatumia bange then unalaani watoto ndio nini.
 
Back
Top Bottom