Swali la kizushi

Imetolewa kwa hisani ya watu wa.............aghrrr!!!!!!!!!
 
Mkuu, elimu ni bahari, wewe na mimi tunategemewa kuchota kufuatana na uwezo wetu. ndi maana wengine tunaishia darasa la 4 wengine wanakua maprofesa hayo ya subjects yasikubabaishe
 
sasa nao wanata somo moja ok lipi - najua hisabati watagoma kabisaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…