Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,323 Reaction score 54,707 Apr 19, 2019 #41 Ukifa hata ulichosema ufanyiwe kisipofanyika huwezi jua
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,118 Reaction score 64,154 Apr 19, 2019 #42 Inanikumbusha kuna kitabu kimoja nilikisoma cha hadithi,kilikuwa kinaelezea mtemi akifariki anazikwa na rafiki yake aliyekuwa anampenda au mpambe wake akiwa hai
Inanikumbusha kuna kitabu kimoja nilikisoma cha hadithi,kilikuwa kinaelezea mtemi akifariki anazikwa na rafiki yake aliyekuwa anampenda au mpambe wake akiwa hai