Swali la kizushi

Umenikumbusha swali kama hilo nilimuuliza rafiki yangu mmoja kutoka mkoa mmoja kaskazini ya Tanzania.Je ukiambiwa uingie peponi au motoni utachagua wapi?
Akanijibu sichagui zote mbili bali nitachagua junction ya kwenda peponi na motoni ili nifungue duka nipate wateja kutoka pande zote mbili.
 
Nataka kuzikwa nikiwa uchi yaani nyama vs udongo na kaburi lisijengwe
Haijalishi utafanyiwa nin
Your time is over
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…