maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,121
- 4,853
Ingekua siku moja kabla ya kufa unapewa nafasi ya kuchagua kitu kimoja cha kuzikwa nacho, Wewe mwana Jf mwenzangu ungechagua kitu gani?
Mimi kivyangu ningechagua smart phone yangu tu iwe na application yangu pendwa Jamii Forum no more.
Uzi huu unaweza kusaidia kujuana kwa kupitia kufahamu mwenzako anapendelea nini
Uzi unaendelea, karibuni
umetisha mkuu bila shaka wewe ni chaggaMie wanizike na tawi moja la benki fresh tu natakua na withdraw mbele kwa mbele
Hahaha.Mie wanizike na tawi moja la benki fresh tu natakua na withdraw mbele kwa mbele
mkuu unapendelea sana downNingechagua nizikwe na mwanamke wangu
MBOOIngekua siku moja kabla ya kufa unapewa nafasi ya kuchagua kitu kimoja cha kuzikwa nacho, Wewe mwana Jf mwenzangu ungechagua kitu gani?
Mimi kivyangu ningechagua smart phone yangu tu iwe na application yangu pendwa Jamii Forum no more.
Uzi huu unaweza kusaidia kujuana kwa kupitia kufahamu mwenzako anapendelea nini
Uzi unaendelea, karibuni
huyu jamaa kanifurahisha sana aseeHahaha.
Mzee nikajua utaomba uzikwe na mama watoto?
Mboo???
Mboo???
Walahi najua mzee anayewafundisha hawa watoto tabia mbaya humu JF.
mzee?Mboo???
Walahi najua mzee anayewafundisha hawa watoto tabia mbaya humu JF.
tunakufa wote!hahaha asa mumeo ataishije we ukiondoka na mboo yake?
welcome to my world!she made my day
tunakufa wote!
Duuh unarudia tena.mzee?
me bibi wa wajukuu 5 nafundishwa na nani tabia mbaya?
hilo swali limejibiwa kama alivyouliza ndo nachokipenda!
huwezi elewa Mume wangu anavyonipaisha kwenye mechi so acha nizikwe na MBOO yake tu!
thankswelcome to my world!
King woman at it's best!
heri ya MwakampyaDuuh unarudia tena.
Naona aibu mimi.