Swali la kimantiki: Ni kwanini CHADEMA mpaka leo haijamfuta uanachama Dr. Slaa? Hawajajifunza lolote kutoka kwa bwana yule?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,492
92,995
Wenye akili timamu tu ndio watalielewa swali langu, ccm wana mipango ya muda mrefu msije kushangaa Dr Slaa akarudi kivingine na bado anao wafuasi ndani ya Chadema hamtoamini macho yenu.

Chadema imtumie wito Dr Slaa wa kuhojiwa na kamati kuu na akikaidi taratibu zote za kisheria zifuatwe kumfuta uanachama wa Chadema na vielelezo vyote vipelekwe kwa msajili wa vyama.

CUF inapay a high price now kwa kumdharau bwana yule sasa anachezesha segere na hana cha kupoteza.

Wenye masikio na msikie, Dr Slaa ni mwanachama hai wa ccm na Chadema na anazo kadi za vyama vyote viwili, ni mipango tu atumie kadi ipi kwa muda upi na kwa malengo gani.

Mimi napita tu.......
 
Dr slaa ameshasema kastaafu siasa na hivyo ndivyo ilivyo,na kama kuna kosa kubwa ambalo CHADEMA walishawahi kulifanya ni hili la kumupoteza Dr slaa
 
Mleta post ni mmoja ya waliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe.

Kazi yao kuwapumbaza wanachama waone tatizo la chadema ni Magufuli wakati Magufuli hana cheyo chochote chadema .

mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa Chadema ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!
 
Mfalme Jiwe mnamuulizaga chochote? Mfano mmoja tu weka hapa.
 
Mfalme Jiwe mnamuulizaga chochote? Mfano mmoja tu weka hapa.
Wamuulize swali moja tu ni kwa nini anayapokea majizi wakati mahakama ya mafisadi ipo?
FB_IMG_1551531129379.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom