Swali la kichokozi based on assumption

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
39,503
2,000
Ndugu hapo ulipo naomba ufanye assumption ifuatayo.

Unaishi mtaa/kijiji kimoja na watu hawa,Mkapa,Kikwete,Lowassa na Pinda.

Katika mazingira hayo,unatokea uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji na miongoni mwa wananchi waliojitokeza kugombe na ambao watakaopigiwa kura ni Mkapa, Kikwete,Lowassa na Pinda kama wananchi wa kawaida tu kijijini kwako.

Sasa ndugu kati ya hao, bila kujali vyama vyao(assume wanatoka vyama tofauti),nani kati yao utamchagua awe mwenyekiti wako wa kijiji/mtaa?

Naomba majibu.
 
TECHMAN

JF-Expert Member
May 20, 2011
2,658
1,250
Ndugu hapo ulipo naomba ufanye assumption ifuatayo.

Unaishi mtaa/kijiji kimoja na watu hawa,Kikwete,Lowassa na Pinda.

Katika mazingira hayo,unatokea uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji na miongoni mwa wananchi waliojitokeza kugombe na ambao watakaopigiwa kura ni Kikwete,Lowassa na Pinda kama wananchi wa kawaida tu kijijini kwako.

Sasa ndugu kati ya hao, bila kujali vyama vyao(assume wanatoka vyama tofauti),nani kati yao utamchagua awe mwenyekiti wako wa kijiji/mtaa?

Naomba majibu.
Assumption is mother of all ..........!!!
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,111
2,000
Basing on the asscrew assumptions, sinto piga kura ama ntafanya fujo uchaguzi uharibike.
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,403
2,000
Hao niwezi wote hawana sifa.

Kikwete anaongoza kwa utovu wa nidham ona mfano wa uoza huo
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,403
2,000
1,mtawa -ikulu
2,gurumo-ikulu,
3,hawa gasia- ,shemeji
4,shukuru kawambwa-binamu
5,said mwema-,shemeji
6.Ben membe-shemeji
7. Mwantum Mahiza -shangazi
8. Ridhiwan Jakaya kikwet -Mtoto
.....................
........................
ongeza list

......................
 
sasala

JF-Expert Member
Oct 22, 2013
376
250
More assumptions, kama naishi kwenye nyumba ya kupanga (naacha kodi) nahamia mtaa, kama nyumba ni yangu, nabomoa (kifusi nazibia mashimo barabarani) naenda kupanga mtaa mwingine wa mbali kabisa.
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
6,163
2,000
Ndugu hapo ulipo naomba ufanye assumption ifuatayo.

Unaishi mtaa/kijiji kimoja na watu hawa,Kikwete,Lowassa na Pinda.

Katika mazingira hayo,unatokea uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji na miongoni mwa wananchi waliojitokeza kugombe na ambao watakaopigiwa kura ni Kikwete,Lowassa na Pinda kama wananchi wa kawaida tu kijijini kwako.

Sasa ndugu kati ya hao, bila kujali vyama vyao(assume wanatoka vyama tofauti),nani kati yao utamchagua awe mwenyekiti wako wa kijiji/mtaa?

Naomba majibu.
Lakini ki-ukweli kuna Mtu mwingine zaidi ya hayo majina uliyo taja na Ana sifa au wasifu Kama wa Mkapa au lower qualities za JK original or say above those qualities za JK original what will be your choice
 
Abunuas

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
8,726
1,500
kama kutakuwa na jiwe nitalipigia kura kuliko hao jamaa.
why?
Lowassa ni mwizi (anaweza kufanya maamzi promptly ila ana tamaa sana)
Pinda ni goigoi (sio mwizi ila hana maamuzi)
Kikwete ni dhaifu (anaweza kufanya maendeleo kama tunavyoyaona lakini hawezi kukemea uovu)

Ndugu hapo ulipo naomba ufanye assumption ifuatayo.

Unaishi mtaa/kijiji kimoja na watu hawa,Kikwete,Lowassa na Pinda.

Katika mazingira hayo,unatokea uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji na miongoni mwa wananchi waliojitokeza kugombe na ambao watakaopigiwa kura ni Kikwete,Lowassa na Pinda kama wananchi wa kawaida tu kijijini kwako.

Sasa ndugu kati ya hao, bila kujali vyama vyao(assume wanatoka vyama tofauti),nani kati yao utamchagua awe mwenyekiti wako wa kijiji/mtaa?

Naomba majibu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom