Mr. Tanganyika
Member
- Nov 13, 2010
- 91
- 7
Bado sijaona swali kwa Kafulila hapa, naona statements tu....Au ni akili yangu imekanganikiwa!"Hivi ninyi mmeshinda kwa asilimia 20 mnakataa kushirikiana. Mngeshinda kwa asilimia 60 sijui ingekuaje! Mimi nadhani umoja wa kambi ya upinzani ni jambo muhimu. Tuache ubinafsi," alisema Kafulila aliyekuwa akishangiliwa na wabunge wa CCM, CUF na wa NCCR.
Kafulila eeh! Kama CDM wangeshinda 60% wangeunda serikali na wasingekuhitaji. Na CCM wangeunda kambi ya upinzani bila ya kukuhitaji. CCM wanakuhitaji sasa ili uharibu nguvu ya umma.
Bado sijaona swali kwa Kafulila hapa, naona statements tu....Au ni akili yangu imekanganikiwa!
SWALI LA MH. KAFULILA LINA MAANA KUBWA KULIKO FIKRA ZA MUANZISHA MADA NA WOTE WENYE MAWAZO MGANDO. (samahani hapo)
Ni lazima tujue tunachohitaji ni nini, pia lazima ijulikane kwamba hili bunge letu la sasa na wabunge wetu waliomo wa upinzani ni bunge la maigizo (watu bado wanajifunza namna ya upinzani na uendeshaji bunge) hebu tazameni mabunge ya wenzetu ambao tayari wanajua nini maana ya kuwa bungeni... hivyo basi KUJITENGA KUNAJENGA DHANA MBAYA NA OVU KATIKA KIPINDI HIKI NA KINAONESHA WAPI TUNAKOPELEKWA! Je ni sawa kupelekwa kama kondoo wa sadaka bila kujiuliza kwa mtu mwenye fikra? je kwanini CDM hawamtaki na hawatamtaka Mh. Kafulila? Ukiacha ushabiki na ukataka uujua ukweli basi utaona kwamba Mh. Kafulila anawazidi mbali sana kiupeo viongozi wengi ndani ya CDM na kwa hili watu wa aina hiyo hawatakiwi ndani ya vingi vya vyama vyetu vya upinzani!!
"Hivi ninyi mmeshinda kwa asilimia 20 mnakataa kushirikiana. Mngeshinda kwa asilimia 60 sijui ingekuaje! Mimi nadhani umoja wa kambi ya upinzani ni jambo muhimu. Tuache ubinafsi," alisema Kafulila aliyekuwa akishangiliwa na wabunge wa CCM, CUF na wa NCCR.
Kafulila eeh! Kama CDM wangeshinda 60% wangeunda serikali na wasingekuhitaji. Na CCM wangeunda kambi ya upinzani bila ya kukuhitaji. CCM wanakuhitaji sasa ili uharibu nguvu ya umma.
siku zote nasema hapa, vyama vyote vya siasa tulivyonavyo Tanzania bado vina uasili wa CCM nami naviogopa kuliko ukoma! Kwa sababu vipo kwa sababu ya sababu ile sababu ikiisha kuwepo kwake ni kwa mashaka! Siihitaji CCM yenu wala chama chochote kilichotokana nayo... KILICHOBADILISHWA NI CHUPA MVINYO NI ULEULE... Zidumu fikra za....!!Kujitenga ni dhana mbovu na ovu, kujiunga na CCM ni dhana mbovu zaidi na ovu zaidi!!!!!
Bado sijaona swali kwa Kafulila hapa, naona statements tu....Au ni akili yangu imekanganikiwa!
Bora kafulila umenena.
Chama hichi kingepewa Dola basi pasingekalika hapa. Ubaguzi tu ndio uliowajaa Chadema.