Habari za wakati huu wana wa jamii forum.
Naomba kuuliza swali ; Kwanini anga huwa linaonekana rangi ya blue wakat wa mchana iwapo Kama hakuna mawingu?
Asante.
Blue light is scattered in all directions by the tiny molecules of air in Earth's atmosphere. Blue is scattered more than other colors because it travels as shorter, smaller waves. This is why we see a blue sky most of the time.

Mwanga wa bluu hutawanywa pande zote na molekuli ndogo za hewa kwenye anga la Dunia. Bluu imetawanyika zaidi kuliko rangi zingine kwa sababu husafiri kama mawimbi mafupi na madogo. Hii ndio sababu tunaona anga la bluu wakati mwingi.
nadhani, mwanga wa jua unapopiga ozone layer ndo tunaiona ile rangi ya blue baada ya hapo nayo maji ya bahari/ziwa yanaiba rangi kutoka angani ambayo ni blue.