Huwa nashangaa kwanini wasichana wanaovaa Hijab huwa wanafuga nywele au wanasuka, ukiangalia umbo la Hijab kichwani utaona kuwa wamefungia nywele kwa nyuma au wamesuka, kwanini wanasuka wakati katika maisha yao nywele zao hazitaonekana hadharani? Kwa wale walioolewa watakwambia ni spesho kwa ajili ya waume zao, kwanini hata wasichana wasio olewa bado wanasuka nywele?
Swali la kijinga, alafu hata hueleweki unataka nini? Sasa ukishajua wanafuga nywele itakusaidia nini?
Swali la kijinga, alafu hata hueleweki unataka nini? Sasa ukishajua wanafuga nywele itakusaidia nini?
Hakuna Muislam anaye weza kukujibu kwahekima. Wewe subiri mitusi tu.Huwa nashangaa kwanini wasichana wanaovaa Hijab huwa wanafuga nywele au wanasuka, ukiangalia umbo la Hijab kichwani utaona kuwa wamefungia nywele kwa nyuma au wamesuka, kwanini wanasuka wakati katika maisha yao nywele zao hazitaonekana hadharani? Kwa wale walioolewa watakwambia ni spesho kwa ajili ya waume zao, kwanini hata wasichana wasio olewa bado wanasuka nywele?
Yaani roho yake inasumbuka kweli juu ya Uislaam !...basi afanyaje !
Mwisho utauliza kwanini mtu anavaa chupi lakini ananyoa mavu*** kwanini asiyaache tim tim kwani anayaona nani?Huwa nashangaa kwanini wasichana wanaovaa Hijab huwa wanafuga nywele au wanasuka, ukiangalia umbo la Hijab kichwani utaona kuwa wamefungia nywele kwa nyuma au wamesuka, kwanini wanasuka wakati katika maisha yao nywele zao hazitaonekana hadharani? Kwa wale walioolewa watakwambia ni spesho kwa ajili ya waume zao, kwanini hata wasichana wasio olewa bado wanasuka nywele?
Sasa unataka kusema kwaajili mtu anavaa hijabu nywele ziwe timtim??Hao wasichana wakisuka au wakibana ni kwaajilii ya nafsi zao.Kwani ukipendeza mpaka umpendezee mtu???
kakende = kapumbuHuwa nashangaa kwanini wasichana wanaovaa Hijab huwa wanafuga nywele au wanasuka, ukiangalia umbo la Hijab kichwani utaona kuwa wamefungia nywele kwa nyuma au wamesuka, kwanini wanasuka wakati katika maisha yao nywele zao hazitaonekana hadharani? Kwa wale walioolewa watakwambia ni spesho kwa ajili ya waume zao, kwanini hata wasichana wasio olewa bado wanasuka nywele?