jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
[emoji121]Habari kwenu wana JF
Hivi ukiwa umetulia zako unajisomea gazeti mara ikaingia text kwenye simu yako inasomeka "kuanzia leo mimi na wewe basi usinitafute"
Kwa mshangao unajibu kumwambia sababu ni nini mpaka achukue uamuzi huo,anakurudishia majibu samahani mpenzi msg nimekosea sikua nakutumia wewe.
Utafanya nini?
Watu ka nyinyi ndo huwa mnakufaga na presha kabisaaanataman kweli ntumiwe txt ka hiyo ila haitokei...
Mkuu usigombee ndiz wakati mgomba hukuotesha wwe mwachee akwendeee bhana life is too short to suffer with stressTukio ntakalo lifanya hapo!!!
Tutagawana majengo ya serikali mi ntapelekwa kituo cha polis yeye atakuwa hospitali
Nitamjibu okey.Habari kwenu wana JF
Hivi ukiwa umetulia zako unajisomea gazeti mara ikaingia text kwenye simu yako inasomeka "kuanzia leo mimi na wewe basi usinitafute"
Kwa mshangao unajibu kumwambia sababu ni nini mpaka achukue uamuzi huo,anakurudishia majibu samahani mpenzi msg nimekosea sikua nakutumia wewe.
Utafanya nini?
Haahahahah likewiseNtafurai maana n dalili ya kubaki peke yangu
Hehehe u i re send unamuuliza love umekosea sio yangu hiiUtata ni pale mnapochati na mpenzi wako issue zingine kabisa,alafu anakutumia text "I love you too baby"
Lazima moyo usimame kidogo.