swali kwa waziri mkuu kesho

mwamola

Senior Member
May 28, 2012
109
15
Mh waziri mkuu hivi sera na taratibu zinasemaje kuwasaidia wahadhiri wa UDOM waliokuwa promoted november 2010 na hadi sasa hawajalipwa arreas zao na wanalipwa daraja la chini hali walistahili waende daraja la yaani PUTS3?
 
Je, Serikali inatoa msimamo gani kuhusu madai ya baadhi ya waislamu kugomea SENSA?
 
Mbona serikali kupitia kwa JK ilisema inajenga nyumba za madaktari 700 wakati huo ni mpango wa global fund chini ya mkapa foundation wa kujenga hizo nyumba kwaajili ya wauguzi wa vituo vya afya wilayani na vijijini.
Je serikali haioni kwamba umeendelea kudanganya wananchi na kuwahadaa madaktari kuhusiana na madai yao?
 
Back
Top Bottom