swali kwa wataalamu wa physics na science kwa ujumla

swali kwa wataalamu wa physics na science kwa ujumla

Itarudi chini under the influence of gravity haiwezekani ikarudi pale pale hata ungepiga kwa angle gani,factors like humidity ,air speed , aair friction will alter its course. Anything with mass will obey laws of motion, risasi ni projectile hata snipers wanaposhoot anything beyond few hundred meters wata shoot using a certain angle of proje tion na wanatumia factors like humidity,air speed,direction, to aim their target.
 
Mkuu inategemeana ume shoot vertically au at a certain angle. Na je kuna any resistance kama wind, misitu etc. Lakini risasi ituayo ni hatari pia ndio maana inashauriwa kijaribu silaha mahali pasipo na watu. Ungekuwa una idea na projection ningekucholea ma trajectory then tu calculate velocity itakayotua nayo kama iliondoka na speed x m/s na imepigwa ktk angle y na ilikaa hewani muda t

mkuu naomba unifafanulie vizuri hapo kwenye red.
 
Wakuu wengi sana wametoa majibu satisfactory, nimekumbuka Projectile back in days
 
Back
Top Bottom