Swali kwa wataalam wa blackberry

Swali kwa wataalam wa blackberry

ditto86

Member
Joined
Feb 3, 2013
Posts
28
Reaction score
3
Nna bold 9780 v6.0.0.294, nikiangalia application management yake inaonyesha bbappworld imo lakini kwenye homescreenn siioni! Na ata kule kwenye app management ukitazama kwenye prop yake inaonyesha not running, nimejaribu kui uninstall na kuweka nyingine inainstall lakini bado aionekani kwenye home screen.. nifanye nn?
 
Nimenunua blackberry z 10 ndo zimetoka wiki hii hapa US ( februari )lakini haina whats App pia skype tatizo tupu naona hawajajipanga inauzwa pound 470 pay and go kwa contract ni miezi 24 pound 47 kwa mwezi , kama kuna mwenye uelewa wa kupata applications hizo anisaidie
 
thts bad... umejaribu kutumia bb desktop manager kwa kudownloadia hizo apps?
 
Hii ni ipi mkuu nimekuwa nikitumia galaxy s 3 kwa muda ni kwa mara ya kwanza nimeamua kutumia bb hasa baada ya hii z 10 kutangazwa sana hapa Canada na US
 
Nimenunua blackberry z 10 ndo zimetoka wiki hii hapa US ( februari )lakini haina whats App pia skype tatizo tupu naona hawajajipanga inauzwa pound 470 pay and go kwa contract ni miezi 24 pound 47 kwa mwezi , kama kuna mwenye uelewa wa kupata applications hizo anisaidie
US ipi hiyo wanyotumia pound? mbona wenywe wanasema huko us hiyo kitu mpa bado waendele kusubiria? ww uko us ya uk?
 
  • Thanks
Reactions: PhD
US ipi hiyo wanyotumia pound? mbona wenywe wanasema huko us hiyo kitu mpa bado waendele kusubiria? ww uko us ya uk?

Regardless ya mahali nilipo ila nimenunua kupitia maduka ya phones 4 u UK ndo sababu nimeweka denomination ya pound hapo
 
sijawahi fanya backup, labda ni upgrade. thnks.

Ukirestore factory settings you won't lose any file, just the ringtones, wallpaper and other settings zitarudi zile za mwanzo but it will take a few minutes to restore them.
 
tumia BBSK download from Google itafuta nakuiweka kwenye factory default call me 0717009369
 
Back
Top Bottom