Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,106
- 9,272
THUBUTU, CCM inawenyewe!
hawana jipyaswala au kashfa lolote kuhusu zitto kabwe wafuasi wa ccm mmekuwa mkijionyesha mnamkubali sana na kumsafisha kuliko wafuasi wa chadema ambalo ndo chama lake.inaonekana zitto z kabwe anakubalika zaidi nje ya chadema hasa ccm w ila ndani ya chadema watu hawana imani naye sana.
swali.
je kama ikatokea leo akahamia huko kwenu ccm kwa vile mnamkubali sana mtamsimamisha kugombea urais 2015 kupitia tiketi ya ccm?
CCM siyo kwamba wanamshabikia zzk kwa nia njema ili awe rais wa nchi hii, isipokuwa hawamuoni kama ni opponent anayeweza kuwanyima usingizi katika uchaguzi wa 2015. Wanajitahidi ku-disqualify Dr. kwa kila njia yoyote ili asigombee maana ndiye pekee ambaye ni tishio kwao. Hapa ni mahesabu tu yanafanyika ya kupata weak point na siyo mapenzi ya kweli kwa zzk.Zito anashabikiwa Na CCM akiwa tu ndani ya Chadema ili atumike kama toilet paper kuvuruga CHADEMA.
Akifukuzwa na chadema hata ndani ya ccm hatakuwa Na nafasi. Akifanikisha mission zawadi kubwa atakayoweza kupata ni ubunge kama zawadi aliyopata jamaa wa NCCR
CCM siyo kwamba wanamshabikia zzk kwa nia njema ili awe rais wa nchi hii, isipokuwa hawamuoni kama ni opponent anayeweza kuwanyima usingizi katika uchaguzi wa 2015. Wanajitahidi ku-disqualify Dr. kwa kila njia yoyote ili asigombee maana ndiye pekee ambaye ni tishio kwao. Hapa ni mahesabu tu yanafanyika ya kupata weak point na siyo mapenzi ya kweli kwa zzk.
Awali ya yote kwa nini chadema wanahofia sana mipango ya Zitto iwe ya kibinafsi ama ya kichama?
Kichekesho kingine toka kwa magwanda! Manake kila siku mnafungua thread mpya kuhusu Zitto sasa sijui hapo ni nani mwenye hofu?Ndani ya Chadema hakuna anayemhofia ZZK lakini nyie magamba ndio mnahangaika nae kama kuku anayetaka kutaga