Swali kwa Wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa Wanawake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ikena, Mar 24, 2009.

 1. I

  Ikena JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2009
  Joined: Oct 24, 2007
  Messages: 482
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60
  Ivi ukimvulia docta wa kiume ambaye ni rika lako au ni handsome flan hivi,akakupekua kila mahali,,(hasa sehemu za siri).Baada ya kupona akaja kukuomba mkafanye matusi (sio inreturn), yani amekufili na kweli wewe una umbo balaa.Je utamwonea aibu na kumkatalia?

  Je kiwango cha kumpiga tarehe kitakuwepo kweli? au kitakua kama shoka moja mbuyu chini,(assume umeisha olewa)
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  thread zako bwana! aombe imekuwa lawalawa hiyo? wanatuzalisha na kutuona vilivyo ije kuwa hiyo kutibia ki juu juu ilete ishu zote hizo? kwa ujumla sielewi kichwa wala mguu wa swali lako, ngoja niache watakaokuwa wamekuelewa wakujibu inavyopaswa.
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mnh, :(

  Siri nyingine zinatakiwa zibakie huko huko kwenye Gynaecological examination... mtakuja kataa madakitari buree, wake zenu wabakie tasa!

  ...halafu sio lazima awe rika lake!

  Personally na Very bad experience ya kimada fulani, katika kukuru kakara zake za kutoa mimba (haikuwa yangu!), akaangukia mikononi mwa huyo 'Gynaecologist' tena wala jamaa hakuwa Qualified,..matokeo yake ikawa kula nikule weee...

  sijamsamehe mpaka leo huyo Binti na huyo Dakitari wake!
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Mar 24, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  .. Haikuwa ya kwako........ ila hujamsamehe mpaka leo. Aksante.

  Ikena ndugu yangu kwanza jiulize huwa anawafili wangapi anaotokea kuwachungulia anapokuwa anawatibia.

  Afu umenichekesha asa nina figa balaa ila ndo nshaolewa sasa nimfikiire wa nini tena? ah mbona keshaziona za kila aina sina haja ya kuwa na aibu kiasi cha kushindwa kumpiga kibuti kama nimeamua hivyo.
   
 5. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  No comments.
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...that's right....

  au unataka na ufafanuzi?

  nilikuwa ng'ambo, huko bongo yeye akafanya madudu akanasa. Baada ya kuing'oa, hakuishia hapo, akaanza uhusiano na huyo dakitari.

  Got it now?
   
 7. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo huyo Daktari aliamua kuoa kabisa!!!!
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Mar 24, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Thanx kaka I was just pulling ya leg......
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...aaaa, wapi...kapiga piga tu akaacha...

  ...;) ...tena nusura 'uuchomoe', taratibu jamani Mwa'jamii#1
   
 10. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  No comment this is really serious and we pray it can not happen as there is ethics in medicine
   
 11. Sabode

  Sabode Senior Member

  #11
  Mar 24, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwi kwi kwi teh teh teh

  Nimekosoma mzee
   
 12. Violet

  Violet Member

  #12
  Mar 24, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumkubali au kumkataa haihusiane kabisa na kwamba yeye ameshaniona sehemu zangu nyeti. kama simpendi simpendi.
   
 13. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Samahani mimi si mwanamke, maana swali limelenga kwa wanawake.
  Ndugu yangu, hapa itategemeana ndoa yako. Kama wewe unaheshimu ndoa yako, haina matatizo, mnaishi vizuri na mume basi kumkubali huyo daktari ni nadra sana. Lakini kama wewe ni kiruka njia, basi atakulamba tu. Huwa nafikilia sana kwa nini ndoa nyingi zinafungwa na nyingi zinamatatizo, zinavunjika? Ukimkubali dokta na mume akainyaka basi shughuri ipo.
  By the way kama haujaolewa, hapa itategemeana na akili yako maana kuna baadhi ya wasichana huwanza kujiuliza. leo kaona uke wangu kautamani je kesho akiona uke wa Miss x si atatamani tena. Kwa kweli.

  All in all, kumkubali au kumkataa inategemeana na wewe, mazingira ya ndoa yako n.k
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...oh yeah, It is happening mshiiri,...nazijua cases hizi Bongo. tena kuna mmoja alikuwa Lab technician, ...akishamaliza routine lab tests, na akiridhika pasafi..kinachofuatia ni kuomba.

  Na yule bwana mdogo wa Kisiwani naye, sijui hawakumfundisha Medical ethics pale MUCHS, au ni tabia ya mtu tu?

  ...Ukimpenda?

  ...safi sana

  ... mwalimu wao kipofu!

  ...yaani mazingira ya ndoa yako ndio yakupelekee ufanye ngono na Dakitari wako? Nakataa... msije nitoa macho eti Dakitari naye si mtu,...Kuna Ethics za kazi wajameni! Dakitari/Muuguzi kutembea na mgonjwa is wrong!
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Imagine wewe Mbu ni doctor unamfanyia uchunguzi kifaa kama irene uwoya.....hutaomba sub kweli?
   
 16. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  duh, hapa mmeniacha hoi... huo mguu, daktari, mmmm pole kakangu...sasa fimbo ya mbali siwajua tena...
   
 17. p

  p53 JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  'any sexual contact or romantic relationship with patients is unethical'.Hicho ni kipengele kimojawapo cha ethics in medicine.wanaongeza...'keep your relationship(dr) with the patient within professional bounds...calmly but firmly make it clear that your relationship is professional not personal'
  sasa haya mambo ya kubanjuka na wagonjwa ni hulka tu ya madaktari wakwale lakini wanaoiheshimu taaluma yao hawawezi kuthubutu hata mara moja.
  sema kina dada sometimes wanakuwa flirtatious wenyewe wakati wakiwa kwenye chumba cha daktari.tena akianza kufanyiwa physical examination ndiyo inakuwa balaa.na ukichanganya na utamaduni wetu kuwa mwanamke akishaonwa utupu wake anakuwa hana ujanja basi hapo ndipo haya mahusiano batili yanapoanza.
  kwahiyo ninachotaka kusema ni kwamba mdada kubanjuliwa na daktari wake ni kujitakia mwenyewe otherwise anaweza kumkatalia na uhusiano wake na wa daktari wake ukaendelea kuwa wa kawaida.
  sasa uliyeleta mada-hii kitu si inakwenda both ways,i mean mbona hujazungumzia madaktari wanawake wanaowa attend waume za watu?
   
 18. K

  Kishazi JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kuna two things, kuugua au kujifungua. Haya mambo yakitokea, ndio pale hata mumeo hatakuwa na mawazo kuwa unachunguliwa au kuchokonolewa (sorry, namaanisha kuchekiwa njia/kuwekewa kidonge cha uchungu kwenye kujifungua) na daktari wa kiume. Pale mawazo yenu yoote yatakuwa kwenye wewe kupona au kujifungua salama.

  Hivyo, hata baada ya hapo, wazo la kuwa umechunguliwa haliwezi kuwepo. Wewe chukulia mfano mtu unaenda kufanyiwa operation, pale mwanawane ni unachojolewa kila kitu, sasa utaanza kuona aibu tena wakati lengo ni kupona..??

  Swala la daktari kukutokea eti ukamkubalia kwa sababu wakati anakutibu alikuona sehemu za siri, mimi sioni kuwa ni sahihi. Manake basi kama ni hivyo kwenye operation au kujifungua ambapo huwa kuna timu ya watu sometimes hadi kumi, ina maana utachunguliwa na kila mmoja wao, na ikitokea wote wamekutamani basi utasleep na wote hao.

  Kutembea au kutotembea na daktari, ni uamuzi independent kabisa, na naona kabisa kuwa mtu akimkubalia dk kwa sababu hizo ni kutafuta tu justification ya kucheat au kufanya maamuzi hayo.
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...wao wanakataa, wanadai eti bahati mbaya! njia mbadala ya kuhalalisha umalaya wake! ..kwa visingizio hawa!
   
 20. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ..ninachoshukuru mke wangu hasomi humu....
   
Loading...