Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,670
- 167,727
Anawezaje kuonja asali bila kutanguliza chochote?Nilichogundua menstruation period inaua mfumo wenu wa aibu kabisa, unawezaje kumuomba mtu hela kabla ya kumuonjesha asali.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Zimekuaje?? Kwani demu uliemtafuta miaka mingi bila mafanikio leo akija kwako utamfanyeje?? Haya mambo yapo wewe acha kujifanya mjuaji!Mada zngne bana
Nishawahi lala kwa mwanamke kitanda kimoja bila kulala nae.. alikuwa bikra by the moment nilikuwa napitia mauvu ya breakup[emoji23][emoji23][emoji23]Eid mubarak wana JF!
Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake mwenyewe.
Siku ya siku mwanaume huyo vuuup akaja kwako ndo mpo nae sebuleni sasa wewe nayeye! Awali ya yote utafanya nini? Je sikuyako hio itaishajeishaje nahuyo mtu??
Wanaume pia ruksa kutoa maoni.
Vipi bro ishawahi kukutokea?? Alikupokeaje wakati mwanzo ulimpotezea ulivyopatwa ndio ukamkimbilia??Nipo nasoma comment...
Komenti nyingine bwana!!Mada zngne bana
Dah hongera sana kwa kutomuharibia binti wawatu! So haikuwa ile love yenyewe yenyewe og ni kwakua uliachana na uliekua naye ukaenda kupoozea maumivu!! Pole na hongera piaNishawahi lala kwa mwanamke kitanda kimoja bila kulala nae.. alikuwa bikra by the moment nilikuwa napitia mauvu ya breakup[emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa anajiheshimu sana na Mimi niliona ningeishia kumchezea tu
Moto wenyewe wa karatasi..... mfyuuuKukupelekea moto
Ndio anataka mdudu wa mwanamkeNi mwanaume ndie kaenda kwa mwanamke bro! Mdudu gani huyo?
Hahaa! Kumbe nanyie mnaliwaga kimasihara?Sema unataka tukushauri uliwe kimasihara au usiliwe kimasihara....
Mi nakushauri jitongozeshe tu ila usisahau kumuhudumia huyo mwanaume maana wewe ndo unampenda na unataka kuwa nae kwenye mahusiano..
Wewe si ulikua unaomba Hazard CFC aje akusugue kisimi??Muafaka upii?? Kuna demu mmoja amenizingua majuzi hapa
Umevunja ungo juzi hujakomaa.hizo ni genye matamanio.ila pole sana ngoja wataalam wakujeEid mubarak wana JF!
Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake mwenyewe.
Siku ya siku mwanaume huyo vuuup akaja kwako ndo mpo nae sebuleni sasa wewe nayeye! Awali ya yote utafanya nini? Je sikuyako hio itaishajeishaje nahuyo mtu??
Wanaume pia ruksa kutoa maoni.
Shika adabu yako ikushike na ushikamane wewe na adabu yako!Umevunja ungo juzi hujakomaa.hizo ni genye matamanio.ila pole sana ngoja wataalam wakuje
Aamen.Shika adabu yako ikushike na ushikamane wewe na adabu yako!
Kumbe ni dume ?Wewe si ulikua unaomba Hazard CFC aje akusugue kisimi??
Kumbuka yeye ni demu ndio anauliza wanawake wenzakeKuna hii unakuta demu anakupa attention flani yaani anashoboka unampotezea, siku ukijaa lazima akupaushe kama ugomvi
Mwanaume huyo jamaaKumbe ni dume ?
Ndio unataka nawewe uje?? Karibuni nyote tupige threesomeWewe si ulikua unaomba Hazard CFC aje akusugue kisimi??