Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,069
- Thread starter
-
- #21
Kwamba ulivompotezea nae akapata, leo umevurugwa ndio wajirudisha kwake! Kumbuka anakukubali sana ndio mana akakubali uende kwake either kwasababu yoyote ile kakubali!Ukimvutia mwanamke then ukampotezea if it wont turn tu a hate basi atakuchukulia poa sana siku ukirudi and probably hutampata kabisa.
Mademu wote waliowahi kunikubali then nikawapotezea bila kuwapelekea moto kwakua nipo kwenye mahusiano mengine sikuwahi kuwapata nlivyowarudia, until nlipogundua a rule of thumb, mpelekee moto then mpotezee ukirudi una nafasi kubwa ya kusamehewa.
Ndoivo imetokea sasa utafanyeje?? Tatizo mmeshazoea habari za wanawake tu ingekua inahusu mwanamke aliekuringia wakati ulimkubali na kumtamani sana leo amekuja kwako naamini hapo ungekua na majibu lukuki!Assumptions zingine huwa hazipo!
Nitake radhi mkuu! Anyway, attack the arguemnt orelse pita kimyaForm six mmerudi [emoji15]
Ndo amekuja hivo na wewe mwenyewe umekubali aje yeye ni mtu mzima hawezi kuja from nowhere! Means wewe ndie ulimpa location na mkawasiliana kumuelekeza kwako akafikaSasa kwangu anakujaje kujaje kwa mfano wakati attention yenyewe haikuwepo...!?
Kuna sababu nyingine ilomleta tofauti na mahusiano, ila kumbuka still unamtaka leokesho!Kaja kufanyaje
Aiseeh! SawaUtamuuliza tuu,vipi mfungo ulikuwaje?
Kukupelekea motoKaja kufanyaje
Demu akikuchukia si ndio anakupenda kwasababu imemuuma kukukosa.Ukimvutia mwanamke then ukampotezea if it wont turn tu a hate basi atakuchukulia poa sana siku ukirudi and probably hutampata kabisa.
Mademu wote waliowahi kunikubali then nikawapotezea bila kuwapelekea moto kwakua nipo kwenye mahusiano mengine sikuwahi kuwapata nlivyowarudia, until nlipogundua a rule of thumb, mpelekee moto then mpotezee ukirudi una nafasi kubwa ya kusamehewa.
Mhhh! Basi sawaKula tunda kimasihara
Wa pili huyu!Kukupelekea moto
So ukifika kwake anamaliza hasira zake kihisia kwako na kuchangamkia fursa au?? Duh!!Demu akikuchukia si ndio anakupenda kwasababu imemuuma kukukosa.
Muafaka upii?? Kuna demu mmoja amenizingua majuzi hapaHapo lazima muafaka upatikane
PoleMuafaka upii?? Kuna demu mmoja amenizingua majuzi hapa
Utoto unaupima kwa kitu gani dada??
Nilimaliza 6 ten years ago,, miaka hiyoo ilikua tunamaliza advance february.Hongera kwa kumaliza mitihani salama.
Nilichogundua menstruation period inaua mfumo wenu wa aibu kabisa, unawezaje kumuomba mtu hela kabla ya kumuonjesha asali.Awali ya yote nitamuuliza anakunywa kinywaji gani, kisha nitamuomba hela nimfatie hicho kinywaji.....