Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,069
Sababu yake anataka mduduNitamsikiliza sababu ya yeye kuja kwangu
Ugomvi ni lazma kwakweli, unajirudisha ili iwe niniKuna hii unakuta demu anakupa attention flani yaani anashoboka unampotezea, siku ukijaa lazima akupaushe kama ugomvi
Kwa issu tu fulani,Kaja kufanya nn
SawaNitamsikiliza sababu ya yeye kuja kwangu
Ni mwanaume ndie kaenda kwa mwanamke bro! Mdudu gani huyo?Sababu yake anataka mdudu
Utamuuliza tuu,vipi mfungo ulikuwaje?Eid mubarak wana JF!
Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake mwenyewe.
Siku ya siku mwanaume huyo vuuup akaja kwako ndo mpo nae sebuleni sasa wewe nayeye! Awali ya yote utafanya nini?
Wanaume pia ruksa kutoa maoni.
Akupaushe Kivipi kaka!Kuna hii unakuta demu anakupa attention flani yaani anashoboka unampotezea, siku ukijaa lazima akupaushe kama ugomvi
Kula tunda kimasiharaKaja kufanyaje
Kwamba yamemkuta yakumkuta ndio anakukumbuka?? Si ndio ungefurahi dada jamani umemuwinda sana ujue!Ugomvi ni lazma kwakweli, unajirudisha ili iwe nini