Mumu huyooooo!![emoji119][emoji119][emoji119]Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Akae kimyaChagua moja.
[emoji119][emoji119][emoji119]vyura hawajambo?!Mumu huyooooo!![emoji119][emoji119][emoji119]
uko vizuri ila tatizo huna chura tuu![emoji119][emoji119][emoji119]vyura hawajambo?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka saaaaana aiseee,.uko vizuri ila tatizo huna chura!
Badilisha ID ujiite Mumu kobe![emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka saaaaana aiseee,.
Ongezea na kasa kabisaaa[emoji1][emoji1]Mumu kobe![emoji28][emoji28][emoji28]
Bora unijibu tu nitajifikiria na kujishusha ikibidi, ukikaa kimya naona umenidharau na kunipuuza kupita kiasi. Hata kama nimekukwaza walau jibu tu "siwezi kukujibu kwa sasa/au tutaongea baadae" kuliko kukaa kimya
Utajikuta mnajibishana.Bora anijibu tuu , kukaa kimya naona dharau afu hasira ndo zinazidi
Pia kama akijibu atleast aangalie maneno ya kuongea ila kama akijibu afu akaongea maneno machafu / mabovu..... hehehe hilo neno siwezi sahau , litabaki kichwani linajirudia rudia !!!!