Swali kwa wanawake.

Umenikumbusha shost yangu m1, akanambia "usimwone shemejio mpole vile. Anaongea vibaya! Akikupa jibu 1 tu unaweza ukawakumbuka marehemu wote!". Nilijikuta nacheka sana badala ya kumhurumia

Hahahahaha hapo lazima ucheke
 
Umenikumbusha shost yangu m1, akanambia "usimwone shemejio mpole vile. Anaongea vibaya! Akikupa jibu 1 tu unaweza ukawakumbuka marehemu wote!". Nilijikuta nacheka sana badala ya kumhurumia
Hahaha kwakweli tena wanaume Wapole ni wabaya hawafai yani wana majibu unawwza sema hawako sawasawa kichwani
 
Ni bora tu nisikujibu halafu baadae nikwambie sms ziliisha kuliko nikujibu vibaya halafu ujisikie vibaya
Bora unijibu tu nitajifikiria na kujishusha ikibidi, ukikaa kimya naona umenidharau na kunipuuza kupita kiasi. Hata kama nimekukwaza walau jibu tu "siwezi kukujibu kwa sasa/au tutaongea baadae" kuliko kukaa kimya
 
Hahaha kwakweli tena wanaume Wapole ni wabaya hawafai yani wana majibu unawwza sema hawako sawasawa kichwani
Ni kweli. Yule Shem ni mpole sana kwa nje. Bidada ni wa maneno mengi. Na Watu huona ni kama mkorofi hivi kumbe katika uhalisia hali ni tofauti
 
Bora unijibu tu nitajifikiria na kujishusha ikibidi, ukikaa kimya naona umenidharau na kunipuuza kupita kiasi. Hata kama nimekukwaza walau jibu tu "siwezi kukujibu kwa sasa/au tutaongea baadae" kuliko kukaa kimya

Kumbuka jibu hapo lazima lije haya ndiyo hoja iliyopo kwa mfano unamtumia sms

Wewe :baba JIWE unaendeleaje??

Baba JIWE: nikome mbwa wewe umenikera sana asubuhi hukunipa papuchi.

Jibu kama hilo sasa ni bora akujibu ama akae kimya??
 
Ni kweli. Yule Shem ni mpole sana kwa nje. Bidada ni wa maneno mengi. Na Watu huona ni kama mkorofi hivi kumbe katika uhalisia hali ni tofauti
Nawajua vizur watu wapole Nina hyo experience nikiwa mbele za watu huwa wananisifia kuwa Nina mr mpole sana anaonekana hana makuu huwa najichekesha na kusema asante ya kinafki,,show huwa naiona maana ana majibu haijapata kutokea
 
Du! Pole sana rafiki
 
Kuna mwanamke aliniambia kitu kama hiki.

Anaona bora mjibishane kuliko kutomjibu kitu.
 
Bora anijibu vibaya na mimi nitapima kama hilo jibu linanistahili au amenionea kuliko kukaa kimya, hii inaumiza zaidi, naona amenidharau kupita kiwango
Kwanini akikaa kimya uone amekudharau? Wakati anaepusha shari?

Chukua mfano mumeo sio mtu wa kuongea sana. Anaona kuliko kukujibu vibaya bora akae zake kimya.

Huyo unamchukuliaje?
 
Tena mim akikaa kimya wala simsemesh tena maana najua nikilazimisha hapo jibu litakalotoka mtakaa mmenuniana hata wiki nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…