Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,858
- 7,074
Hawajijui huwa tunawatukana sana kimya kimya wana mambo ya kifwala sana wanaume basi tu
Bora anijibu vibaya na mimi nitapima kama hilo jibu linanistahili au amenionea kuliko kukaa kimya, hii inaumiza zaidi, naona amenidharau kupita kiwango
Tena mm naongoz balaaaa nikiona mtu ananizingua hata kama tunaongeaa naweka simu kwenye kwapaaa kabisaa nakunja na suraaa lait wangejua hata wasingejibu vibayaHawajijui huwa tunawatukana sana kimya kimya wana mambo ya kifwala sana wanaume basi tu
Yan namtus kimya kimyaaa simwambii asikieeeee
Hahahaha ww ni mchaga ninAkinijibu kwa msg ya tigopesa inapendeza zaidi.
Hamna jemaBora asijibu, japo akikaa kimya napo naona amenidharau
Hahaha kumbe uzi wenu bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa kunichekesha hehehee
Umenikumbusha shost yangu m1, akanambia "usimwone shemejio mpole vile. Anaongea vibaya! Akikupa jibu 1 tu unaweza ukawakumbuka marehemu wote!". Nilijikuta nacheka sana badala ya kumhurumiaKwakweli unaweza lia kutwa nzima
Unapata na ugonjwa was moyoJibu baya linakera bwana, tena linatia na mawazo juu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahahaha aiseee
Ni kweliHamna jema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii comment nimeipenda. ...Awapelekee ndugu na swahiba zake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maneno ya kero na karaha awapelekee ndugu na swahiba zake akishindwa akae kimya for good.
Akiniharibia siku yangu ajiandae kuharibiwa msimu mzima...
Hawara nje wala hawi indicated kwa majibu mabaya maana wanaume wengine wakiwa na mahawara ndani ndo wanaukua wametulia kuliko wasipokua na hao mahawaraBora ajibu vibaya ili kupitia hilo jibu baya unaweza kupima status ya Penzi imefikia kiwango gani!
Jibu baya laweza kuwa ni "indication " kuwa huenda kuna kidudu Mtu kimeingilia kati Penzi lenu!
Majibu mabaya ni mojawapo ya ishara huenda ana hawara nje na sasa Wewe Mke anaku dharau !
Pia ktk kukujibu vibaya unaweza kujiuliza maswali ambayo yakakupelekea kujitathini kisha kujirekebisha Wewe mwanamke!
Hawajijui huwa tunawatukana sana kimya kimya wana mambo ya kifwala sana wanaume basi tu
Acha basi, Eti ni kweli sie tuna mambo ya kifwaaala!?Hawajijui huwa tunawatukana sana kimya kimya wana mambo ya kifwala sana wanaume basi tu
Mna kero sana wanaume basi tuAcha basi, Eti ni kweli sie tuna mambo ya kifwaaala!?