Swali kwa wanawake.

Bora ajibu vibaya ili kupitia hilo jibu baya unaweza kupima status ya Penzi imefikia kiwango gani!
Jibu baya laweza kuwa ni "indication " kuwa huenda kuna kidudu Mtu kimeingilia kati Penzi lenu!
Majibu mabaya ni mojawapo ya ishara huenda ana hawara nje na sasa Wewe Mke anaku dharau !
Pia ktk kukujibu vibaya unaweza kujiuliza maswali ambayo yakakupelekea kujitathini kisha kujirekebisha Wewe mwanamke!
 
Hahahaaa. Umeonaeee.

Sababu akijibu mbovu na wewe roho inaweza kuchafuka ukajikuta na yeye unampakia maneno machafu tu ambapo mwisho wa siku hamjengi bali mnazidi kubomoa.
Na wanaume si ndo wanajifanyaga hawajui kuzui mihemko so sisi ndo wakujizuia,,hapo ni kukaa kimya tu ukijibiwa vibaya au kuomba Mungu asikujibu vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…