BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Unajua inabidi umwamini tu hivyo hivyo unajua ukimchunguza kuku au bata kwa makini tambua huwezi mula kabisaaa maana anaokota okota mauchafu kisha ala.
Ni kweli hata kama una hisia potofu inabidi ujaribu kuzizuia. Ila siyo siri,sijawahi kumwamini mwanaume kabisaaa yaani 100%. Imani inakwepo kutokana na vitendo na mwenendo mzima wa mapenzi,vinginevyo unaweza jutaaaa kumjua mtu!
Mi nilikuwa na G/F anategea nimelewa usiku anaaanza kuperuzi kakimeo kangu nani alinipigia nani nilimpigia nakuanza kuchat nao usiku mbona nilimfire hayo si mapenzi ya kuviziana bora kuwa open....
Kwa miaka hii niliyoshiba nimejifunza somo kuwa, ATOKAYE NJE YA NDOA, HASEMI.mbona me nipo kwenye ndoa miaka kadhaa na cjachunguliwa na mwanaume mwingine? inawezekana sana! mwanamke uwe na mcmamo kwenye maisha ,uijali ndoa/mpenzi wako, uone kwamba hakuna mwanaume/mwanamke mzuri/mtamu kuliko huyo ulienae, inawezekana kabisa, sio wanawake wote tunatoka nje ya ndoa/wapenzi wetu.
Kwa miaka hii niliyoshiba nimejifunza somo kuwa, ATOKAYE NJE YA NDOA, HASEMI.
ni kweli kabisa Nyamayao,mambo mengine ni hulka ya mtu!kwanza kama haumuamini mkeo au mpenzio achana nae na sio kumfikiria ndivyo sivyo!!
Ni heri amemtosa huyo demu mpekuzi... leo kapekua simu... kesho angepekuwa kiwallet...Tena mambo ya simu ndo balaa siku hizi,situation kama hizo hutokeana sana kwa watu ninaowafahamu. Huyo bibie hakutaka ujue anakupekua ndo mana alitaka iwe siri tena usiku.
Wanawake tupo insecured sana kimapenzi yaani kuamini kuwa ni wewe peke yako kwa mpenzi wako kwa muda mnaodate.
Lakini kupekua tu simu ndo ukamtosa?au ulikuwa unamtafutia sababu na hiyo ikawa ndo chance yenyewe? Kwasababu wanaume wengi kumwambia msichana its over ni ngumu ila akifanya kosa tu ndo inakuwa sababu ya kumuacha.
mimi nilishadanganywa na demu wangu toka kipindi hicho nimekuwa siwaamini kabisa wasichana..............na hii imenifanya niwe na wasichana kibao toka kipindi hicho kwani hata mchumba niliye nae sasa hivi simuamini kiasi hicho
sema ukweli, belinda. si umeshawahi kubanjuka nje ya mahusiano yako? hakuna anayekuona, sema tu
Ni heri amemtosa huyo demu mpekuzi... leo kapekua simu... kesho angepekuwa kiwallet...
kwani anataka kufanya research, ama? au anafanya investigative journalism?
Du! umenishtua,anyway siri yako mkuu 'sina uhakika kama nimewahi kubanjuka nje ya mahusiano yangu'...usimwambie mtu pls..
hope umenisoma mziwanda!