goodbeatus
Member
- Apr 7, 2014
- 11
- 3
Nakubaliana na ww ni hulka ya mtu,unadhani mfumo dume hauhusiki kwenye hili kama alivyosema Mkoroshokigoli :thinking:
Ndio....
hili jipya umenifungua macho lol,kwahio kwa sababu mwanamke umemtolea mahari anakuwa kama bidhaa kwako umfanye lolote na usijali hisia zake pia ukimkera!Hawatolewi mahari
hili jipya umenifungua macho lol,kwahio kwa sababu mwanamke umemtolea mahari anakuwa kama bidhaa kwako umfanye lolote na usijali hisia zake pia ukimkera!
Nakubaliana na ww ni hulka ya mtu,unadhani mfumo dume hauhusiki kwenye hili kama alivyosema Mkoroshokigoli :thinking:
hili jipya umenifungua macho lol,kwahio kwa sababu mwanamke umemtolea mahari anakuwa kama bidhaa kwako umfanye lolote na usijali hisia zake pia ukimkera!
Well said brother!Mfumo dume na wenyewe inawezekana kabisa unachangia hiyo hali.
Na ndo maana mi nadhani vyanzo vyake ni kadhaa, pasipokujalisha jinsia.
Wapo watu ambao kiasili wao ni wagumu sana kukubali makosa yao, hata iweje.
Pia tupo ambao tukiona kama kweli tumekosea basi wala huwa hatusiti kuomba radhi, kwa sababu kufanya hivyo ndo uungwana wenyewe.
Tena huomba radhi bila shurti. Na wala hatupungukiwi na chochote.
Lakini nakubali kuwa mazingira (kama mfumo dume) nayo humjenga mtu kimtazamo. Kama mtu kazaliwa, kakulia, na kulelewa katika mazingira ya mfumo dume usiozingatia usawa kwa watu wote, bila shaka mtu huyo atakuwa na mtazamo kandamizi dhidi ya wanawake.
Mimi sijaoa. Lakini kuna wakati babu yangu aliwahi kuniuliza nani huwa ananipikia nyumbani kwangu. Nikamjibu huwa napika mwenyewe nikipata wasaa.
Ila nilishangaa kidogo kwa nini aliniuliza hivyo. Nikadhani tu kuwa huenda ni utofauti wa kizazi na mazingira aliyokulia yeye. Kwake yeye masuala ya kupika, hususan kama ni nyumbani, ni ya wanawake.
Kwanza sidhani hata anajua kupika maana nyumbani kwake hapajawahi kukosekana watoto wa kike. Wawe wanae yeye au wajukuu zake, wao kupika ndo ilikuwa na inaendelea (kwa wale ambao bado wapo kwake) kuwa wajibu wao.
So in a way you are right. People also are products of their environment(s).
Eti Mkoroshokigoli ni kweli?Ukitolewa mahari ni sawa na kununuliwa, mengineyo yatategemea huruma ya bwana wako. Exposure and humanity.
Nakubali na nishakutana vijana tofauti ambao hawasiti kuomba samahani wanapokosea...lakini kuna wale "KICHWA NGUMU".....Hili lipo ila sio kwa jinsia yakiume hapana aliyokutana nayo Nyani Ngabu na mimi nimeona. Kuna mdada nilikua namfahamu (ni rafiki tu) mda mwengine ananikwaza sana na kweli hua anakosea ila neno "samahani" nikama vile amekatazwa na doctor, hasemagi kabisa neno hilo. Mimi binafsi kusema "sorry" naona si shida kwangu
Habari za saa hizi,
Kuna kitu kimenijia leo katika fikra zangu kwanini ni vigumu sana kwa mwanaume kuomba samahani,wengine hata wajue makosa ni yao hawakiri wakaomba samahani.Nakosa majibu kwanini?Kuna kitu chochote ambacho kinahusiana na uanaume ambacho kitapungua au kitaharibika iwapo mtajishusha?
Eti Mkoroshokigoli ni kweli?
mh mahari ni zawadi jamani na kidini mahari anachagua mke na anapatiwa mke sasa hayo ya bidhaa yamekujaje?mahari si sawa na kununua bidhaa au mwanamke,ila mahar inavyowekwa kwa sasa ni sawa na kumnunua mwanamke tu,imekosa uhalisia