Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Really?and why should i do that?I believe Everything happens for a reason!Kubaliana na hali halisi usiulize maswali.
Noone and why do you ask?who u been dating?!!
Habari za saa hizi,
Kuna kitu kimenijia leo katika fikra zangu kwanini ni vigumu sana kwa mwanaume kuomba samahani,wengine hata wajue makosa ni yao hawakiri wakaomba samahani.Nakosa majibu kwanini?Kuna kitu chochote ambacho kinahusiana na uanaume ambacho kitapungua au kitaharibika iwapo mtajishusha?
Kwahio katika tamaduni zako wewe hata mke akijua mfano mumewe anachepuka hapaswi kuombwa samahani?hata ile samahani ya vitendo basi kuleta zawadi,au kumpikia au kujipendekeza kidizain!!!Mi naomba sana,nikimkosea mpenzi wangu iwe kwa bahati mbaya au maksudi namuomba samahani.
Sababu ya wanaume wengi kutokuomba msamaha nadhani inachangiwa na malezi na utamaduni. Kwa mfano kabila langu mimi mwanaume kuomba samahani kwa mwanamke inachukuliwa kama udhaifu mkubwa sana,unaonekana kama b.wege flani hivi au umelishwa limbwata.
Habari za saa hizi,
Kuna kitu kimenijia leo katika fikra zangu kwanini ni vigumu sana kwa mwanaume kuomba samahani,wengine hata wajue makosa ni yao hawakiri wakaomba samahani.Nakosa majibu kwanini?Kuna kitu chochote ambacho kinahusiana na uanaume ambacho kitapungua au kitaharibika iwapo mtajishusha?
Anhaaa kwahio mnaomba samahani pale inapobidi tu ili isije kuwa mazoea....but kuna wale wengine wapo ngangali tu hata umkamate ready handed na kosa atatafuta njia za kujitetea yaani hakubaliii kosa katu mweee....tena anaweza akuwekee na risala wewe na kosa linelemezwa kwako:A S-confused1: waweza ufanywe wewe ndo chanzo cha hayo makosa!!Kuomba msamaha mi naona inategemea kunamda naomba,situtaka kuwa in control alaf nyie wenyewe mkiombwa msamaha mnadharau SNA ,na kingine mwanamke hata kama kosa kafanye yeye usipokuwa main I anakugeuzia kibao ndo maana tunakomaa
Nakubaliana na ww ni hulka ya mtu,unadhani mfumo dume hauhusiki kwenye hili kama alivyosema Mkoroshokigoli :thinking:Mi nadhani ni hulka tu ya mtu binafsi na sidhani kuna uhusiano wa moja kwa moja na jinsia.
Nasema hivyo kwa sababu nimeshawahi kukutana na wanawake kadhaa ambao hata wawe wamekosea dhahiri shahiri, hawawezi kukubali kosa lao na kuomba samahani bila mbinde.
Hata wakija kuomba samahani, watafanya hivyo kwa shingo upande kana kwamba wanakubali tu yaishe ila mioyoni mwao bado wanaona hawana (ma)kosa.
Kubaliana na hali halisi usiulize maswali.
Anhaaa kwahio mnaomba samahani pale inapobidi tu ili isije kuwa mazoea....but kuna wale wengine wapo ngangali tu hata umkamate ready handed na kosa atatafuta njia za kujitetea yaani hakubaliii kosa katu mweee....tena anaweza akuwekee na risala wewe na kosa linelemezwa kwako:A S-confused1: waweza ufanywe wewe ndo chanzo cha hayo makosa!!
Really?and why should i do that?I believe Everything happens for a reason!
eeh wenye tabia hizo utawajua tu
Anhaaa kwahio mnaomba samahani pale inapobidi tu ili isije kuwa mazoea....but kuna wale wengine wapo ngangali tu hata umkamate ready handed na kosa atatafuta njia za kujitetea yaani hakubaliii kosa katu mweee....tena anaweza akuwekee na risala wewe na kosa linelemezwa kwako:A S-confused1: waweza ufanywe wewe ndo chanzo cha hayo makosa!!
Bora umesema wewe na mimi nimelifikiria hilohilo loleeh wenye tabia hizo utawajua tu
Kwa mantiki hio "mwanamke hapaswi kuomba msamaha" ni wanaume tu wenye roho ehhh??Yeah, everything happens for a reason. The reason ni kwamba sisi niwaafrika. Huwezi change hiyo fact. Tangu enzi zilee. A man is the head in relationship/marriage so mwanamke hakutakiwa kumkosoa mumewe na alitakiwa kuwa mnyenyekevu always. Hiyo ni ukweli tosha kwamba women are treated with no equality especially kwenye relationships. Kukosea ni kitu cha kawaida na kuombana msamaha ni vyema bila kuangalia gender kwenye mahusiano.
Hii ngumu kumesa!!!!Kunya anye bata lawama nipewe pia na uharo nisafishe mweeeeewe mama weee,mwanaume si wa kushindana nae,,,,hata asipokuomba ww msamehe tuuuuu