aaah @
queenkami, naomba hata nisisome replies za wengine:
Kwani tangu lini tumegeuka mbuzi ambaye akikua tu anaanza kumpanda mama yake!?? Si nilidhani binadamu tumeumbwa na utashi!??
No honestly, nimeshangazwa na mshangao wako kuwa mchumba wa rafiki yako analala na dada yake..so what is the big deal!?? Si ni dada yake? Umeshaenda kota za polisi? Nyumba ina vyumba viwili...mzee ana watoto wa kike na kiume..wanalalaje ati!???
Oh on a personal note, mimi mdogo wangu anakuja kunitembelea weekend ijayo from Moshi (yuko likizo..form six) na atalala kwangu..kwa kaka yake...na tena sitandiki godoro chini...na bado nina mwingine yuko Ardhi University naye kama mitihani itakuwa imepungua atakuja pia..we spend the night together...he!!!! wat the hell is hapenning to the world!????