Wanaume wenzangu, embu tujadiliane kuhusu hili swala ambalo kuna mdau aliliuliza kule kwenye blog ya kurekebisha tabia,lakini halikupewa majibu muafaka, sijui kwasababu wengi wenu ni wahanga au mnajidai hamjui.
Swala ambalo hata mimi huenda litakuja kunipa presha baadaye ni; "Jinsi gani unaweza kuondoa stress hasa ukikumbuka MKE uliyenaye hukumtoa bikira,na kuna lijamaa lilimshughulikia mkeo na pengine hata ti*O alipewa wakati wewe unajivunga hutaki na ni dhambi.
Mbaya zaidi unagundua huyo balazuli anali-ub*o wa kufa mtu.
ulimuolea wa nini sasa kama unafikiria vicvyofikirika? na hiyo kitu ya mwenzako ulijuaje ukubwa wake, hoja nyingine tata!
Hapa unamaanisha kabla ya kuoa au baada?
Maana kama ni kabla ujamuoa ni kuwa ulikubaliana na kila hali, ila kama ni wakati mpo kwenye ndoa, mmhh, mwanawane hii itakuwa ngumu.
Ila jambo moja nataka kukujuza, ilihali umeamua kumuoa binti, hata kama alikuwa anatoa tiG* na ameamua kujituliza kwako, na haujawahi kupata habari zake zitakazokupa stress wakati upo nae (Ndani ya Ndoa). We piga kazi jiendeleze kiuchumi na uachane na tabia za kumhisi hisi mwenzio. Hii ni njia muafaka ya kudumisha ndoa...
ulimuolea wa nini sasa kama unafikiria vicvyofikirika? na hiyo kitu ya mwenzako ulijuaje ukubwa wake, hoja nyingine tata!
Wanaume wenzangu, embu tujadiliane kuhusu hili swala ambalo kuna mdau aliliuliza kule kwenye blog ya kurekebisha tabia,lakini halikupewa majibu muafaka, sijui kwasababu wengi wenu ni wahanga au mnajidai hamjui.
Swala ambalo hata mimi huenda litakuja kunipa presha baadaye ni; "Jinsi gani unaweza kuondoa stress hasa ukikumbuka MKE uliyenaye hukumtoa bikira,na kuna lijamaa lilimshughulikia mkeo na pengine hata ti*O alipewa wakati wewe unajivunga hutaki na ni dhambi.
Mbaya zaidi unagundua huyo balazuli anali-ub*o wa kufa mtu.
Hapo naongelea baada ya kumuoa.
Kuna tetesi kuwa wanawake huwa hawamsahau aliyemtoa bikira. Sasa ikiwa ndio umemjua huyo jamaa na huenda mnakaa nae mtaa mmoja, kweli njia ya kuondoa stress ni kupiga mzigo tu?
Mhh,
Nyamayao, naona uko fast kwenye mada za namna hii. Wewe ni specialist nini?
ulimuolea wa nini sasa kama unafikiria vicvyofikirika? na hiyo kitu ya mwenzako ulijuaje ukubwa wake, hoja nyingine tata!
Hujaelewa swali.
Mara nyingi wakati wa uhusiano (kabla ya ndoa) wapenzi wengi huwa wanaficha madhambi yao.
Sasa baada ya ndoa ukigundua inakuaje?
Unaweza kujua flani anamaumbile makubwa kwenye stori za vijiweni.
Pia enzi za mwalimu tulipokuwa tukitoka machungani tulikua tukipitia mtoni kuoga,na huko mnakutana na makundi ya vijana wenzako.
Aidha kwenye jando na unyago vijana huwa wanapelekwa kwa makundi katika vipindi au miezi flani flani hususani kipindi cha baridi.
Mfano hata wewe pengine ulishawahi kumwambia rafiki yako wa karibu kuwa unatope/mtera. Kafanye utafiti kwenye saluni mnazoshea na huyo shoga yako kama hutakuta stori zako.
Vumilia kwani utakuwa ushauvaa mkenge; kama presha inazidi unampiga chini-Wanaume wenzangu, embu tujadiliane kuhusu hili swala ambalo kuna mdau aliliuliza kule kwenye blog ya kurekebisha tabia,lakini halikupewa majibu muafaka, sijui kwasababu wengi wenu ni wahanga au mnajidai hamjui.
Swala ambalo hata mimi huenda litakuja kunipa presha baadaye ni; "Jinsi gani unaweza kuondoa stress hasa ukikumbuka MKE uliyenaye hukumtoa bikira,na kuna lijamaa lilimshughulikia mkeo na pengine hata ti*O alipewa wakati wewe unajivunga hutaki na ni dhambi.
Mbaya zaidi unagundua huyo balazuli anali-ub*o wa kufa mtu.
... "Jinsi gani unaweza kuondoa stress hasa ukikumbuka MKE uliyenaye hukumtoa bikira,
na kuna lijamaa lilimshughulikia mkeo na pengine hata ti*O alipewa wakati wewe unajivunga hutaki na ni dhambi.
Mbaya zaidi unagundua huyo balazuli anali-ub*o wa kufa mtu.
Kwa tathimi za wadau wakuu wa maswala haya ya mahusiano demu ukimtoa bikra huji muoa wewe wataoa wenzako.....unajua mwanamke anapo anaaanza kuwa katika uhusiano wa kimapenzi anakuwa hajapewa ufunuo zaidi wa kupenda na kupendwa kadri siku zinavyo enda ndivyo anavyo jifunza nini taamu na nini chungu.Ndo maana wengi wetu wanao wake tayari wamesha kuwa USED.