Swali kwa wanaume wote

Swali kwa wanaume wote

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
4,800
Reaction score
8,989
Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe .

Na mkataba unasema ni ml 5 kwa kila mwezi mkeo ahamie kwa jamaa sasa utakubali au ukatae . Kama mwanaume utakubali maana faida ya huo mkataba ni kupewa kila mnachotaka ambacho wao wamepima nakuona watamudu .
KAma kodi, chakula , mavazi , vacation na allowance ambayo ni ml 5 kwa mwezi . Hata kujenga wanaweza wawajengee

Sasa utakubali au lah
 
Nakaa kiti cha mbele nikisubiri kusoma replies 😂

giphy.gif
 
Hilo swali ungeliweka both kwa mwanaume na mwanamke. Je watakubali au lah.
 
Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe .

Na mkataba unasema ni ml 5 kwa kila mwezi mkeo ahamie kwa jamaa sasa utakubali au ukatae . Kama mwanaume utakubali maana faida ya huo mkataba ni kupewa kila mnachotaka ambacho wao wamepima nakuona watamudu .
KAma kodi, chakula , mavazi , vacation na allowance ambayo ni ml 5 kwa mwezi . Hata kujenga wanaweza wawajengee

Sasa utakubali au lah

"No woman no cry"
 
Kama vipi nawe nenda naye mkaishi hapo wote mkeo analiwa na lijamaa halafu wewe unawafulia mashuka kabisa!
Au wote mume na mke muwe mnapigwa miti hapo!
Kwa akili za mwanaume kama hizi ccm itaendelea kutawala mpaka Yesu anarudi
 
Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe .

Na mkataba unasema ni ml 5 kwa kila mwezi mkeo ahamie kwa jamaa sasa utakubali au ukatae . Kama mwanaume utakubali maana faida ya huo mkataba ni kupewa kila mnachotaka ambacho wao wamepima nakuona watamudu .
KAma kodi, chakula , mavazi , vacation na allowance ambayo ni ml 5 kwa mwezi . Hata kujenga wanaweza wawajengee

Sasa utakubali au lah
Kama tuu skuiz wanaume wanafirwa kisa pesa, wanauza matako kisa pesa Yani skuizi ngoma droo hamna Cha mwanamke Wala mwanaume, wote tuna soko
 
Ukiweza kumuuza mkeo kwa sababu ya ugumu wa maisha, basi jua hamna kitu utashindwa kuuza ili ule.

Ukiuza, Utauzwa
 
Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe .

Na mkataba unasema ni ml 5 kwa kila mwezi mkeo ahamie kwa jamaa sasa utakubali au ukatae . Kama mwanaume utakubali maana faida ya huo mkataba ni kupewa kila mnachotaka ambacho wao wamepima nakuona watamudu .
KAma kodi, chakula , mavazi , vacation na allowance ambayo ni ml 5 kwa mwezi . Hata kujenga wanaweza wawajengee

Sasa utakubali au lah
Wanawake mbona mko wengi? Namwachia mke wangu-hata kama ni wewe- halafu natumia hiyo pesa kuoa mwingine
 
apatae mke amepata kitu chema.
*huo upumbavu sifanyi kamwe, yani nimuuze my wife wangu kisa pesa? NO! na jinsi kupata mke ni GHARAMA kubwa sana, hasa ktk suala la MUDA. huo use.nge hapana. nitafight kwa kila hali na mali na Mungu atanisadia hadi tuwe na standard life. mwanaume kufanya huo upuuzi ni ushoga.
 
Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe .

Na mkataba unasema ni ml 5 kwa kila mwezi mkeo ahamie kwa jamaa sasa utakubali au ukatae . Kama mwanaume utakubali maana faida ya huo mkataba ni kupewa kila mnachotaka ambacho wao wamepima nakuona watamudu .
KAma kodi, chakula , mavazi , vacation na allowance ambayo ni ml 5 kwa mwezi . Hata kujenga wanaweza wawajengee

Sasa utakubali au lah
Akili za kimalaya huwa zina mwisho mbaya sana. Ukizilea taratibu utajikuta kwenye shimo.
 
Back
Top Bottom