Swali kwa wanaume waliooa tu

Nitawaongoza sala ya toba then nitamwambia huyo mwanaume aende zake.
 
I guess kuna mtu katmbewa, inauma kuliko hata msiba.....
Time heals
 

Boss katika mambo haya bado unafuata utaratibu????
 
Ukimfumania au kuwa na uhakika kuwa Mke anakusaliti kwa kulala na mwanaume mwingine cha kufanya ni Kumwacha tu Mwanamke moja kwa moja akaishi na huyo hawara wake.

Tena ni vizuri ukamwacha kwa kudeclare kabisa mbele ya wadhamini wa ndoa, viongozi wa dini na wazazi.na kusema sababu ni Uzinzi wake.
 
Unampaka mafuta huyo Jamaa anaezini nae ili na yeye apate haki yake(kumfumua marinda).

Pili, unaachana na huyo mwanamke hivyo tu Mkuu maana kafanya dharau ya hali ya juu sana.
Mkuu swali jingine hili hapa... Ikiwa huyo jamaa ni mbavu nene na ameshamkoleza mkeo ktk purukushani mkeo na jamaa wakakurudi wewe kwa kukushambulia na kwa kipigo then....

hilo tendo la unajisi unajisiwe wewe after raw utobolewe macho kwaajili ya kupoteza ushahidi baadaye unakuja kuambiwa mkeo na jamaa walitimkie Botwasana watoto wanalelewa na mama yako mzazi...
Utafanya nini on that situation na wakati huo umesharudishwa kwenu May be Iringa mjini umegeuka ombamba kwa kilema alichokusababishia mwanamke ambaye siyo ndugu yako!!!

Please nipe majibu ili tunogeshe huu uzi!!!
 
Nitamtafuta mke wa jamaa nami nalipiza. "Dawa ya moto ni moto"
 
Kwakuwa hajambaka huyo mwanamke wangu wamekubaliana, nikiwakuta namkamata jamaa namvunja dudu, navuta hadi ifike gotini, simpigi namwambia aondoke, mke simgusi ila namsaidia kupakia kila kilicho chake tayari kwa safari siku inayofuata. Najipanga upya na maisha yangu mapya na wanangu kama tunao.
 
Hahahahahhhh

Mkuu Mimi mwenyewe mbavu nene mkuu tena hatari sana ndiyo maana najiamini sana. Hiyo nguvu ya kutaka kunifanyia fujo ataipata wapi kwanza? Akileta jeuri zaidi mpasue kichwa na bastola.
 
Hahahahahhhh

Mkuu Mimi mwenyewe mbavu nene mkuu tena hatari sana ndiyo maana najiamini sana. Hiyo nguvu ya kutaka kunifanyia fujo ataipata wapi kwanza? Akileta jeuri zaidi mpasue kichwa na bastola.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah! Sawa mkuu... Kuna jamaa kageuka ombaomba kwenye situation kama hiyo wanawake wana roho ngumu, Mkewe alimtoboa jicho la kushoto njemba iliyomchocheza mke wa jamaa yeye akapita na jicho la kulia... Wakamfungia ndani funguo wakaondoka nayo ...

Kelele zake ndizo zilizomfanya aokolewe na majirani...

Huwezi kuamini kufaminia afumanie yeye tena nyumbani kwake then alichoambulia ni Upofu jamaa alikuwa mfanya biashara ya vitunguu, hawezi tena kageuka tegemezi kwa wazazi wake...

Mke wake ndiyo kakolea kwa hilo njemba alilotoka nalo toka shule ya msingi.... Aibu, haya mambo ni htr mnoo!..
 
Scenario ya 1 na 2
Nitatoa cm yangu na kuwarekodi na kuirusha mitandaoni watu waone jinsi wife alivyo mkali kwa kuchepuka.[emoji12]
 

Nani kakuambia kifumania kunavunja ndoa. Ingekua hivyo zaidi ya 80% ya ndo zingevunjika kwa vile hata kukamata text za kimahaba mahaba pia ni kufumania pia.
 
Nani kakuambia kifumania kunavunja ndoa. Ingekua hivyo zaidi ya 80% ya ndo zingevunjika kwa vile hata kukamata text za kimahaba mahaba pia ni kufumania pia.
Mkuu Ukimfumania Mwenziwako Akiwa Ana zini Inje Ya Ndoa (ikumbukwe Kuwa message Sio Tendo La Zinaa) Una Haki Kwenda Kudai Talaka Yako Mahakamani. Ndio Maana Nikasema Busara Tu Ndio inayo Weza Kunu suru Jambo Hili. Na Msamaha Ukapita.
 
Mkuu utakua ushamfukuza kisaikolojia...............ataondoka mwenyewe bila kuomba kibali cha safari yake
 
Nimeuliza swali, usiniulize swali hilo hilo.
Sina jibu ndio maana nimeuliza humu. Na sijawahi kukutana na 'scenario' hata moja wapo.
Basi subiri ukikutana nayo ndio utajua cha kufanya hapo hapo!
 
Mkuu utakua ushamfukuza kisaikolojia...............ataondoka mwenyewe bila kuomba kibali cha safari yake
Nilishasema sitakuja kumpiga mwanamke ninaehusiana nae, ni bora tukaachana tu.
 
Scenario -1, nitahakikisha wamejua nimejua.

Scenario -2, tutakubaliana kutokukubaliana, kwa mustakabali wa watoto,,, mmoja kati yetu ahame then divorce process take place...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…