Swali kwa wanaume waliooa tu

kuwa wazi na kilichotokea maana naona kama unazunguka zunguka, mimi ndio maana huwa nikitaka penzi kwa mwandani huwaga sitaki kusikia oooh baby leo nimechoka let do it kesho,sijui oooooh blaaah blaaaaaah na hii ndio madhara yake unaambiwa l am tired baby na wewe unageuka upande wa pili unakoroma.
 
Nimeoa ila cheti cha ndoa kimeliwa na panya kwa hiyo sina nguvu kisheria kuchangia chochote hapa!
 

Dah!
Hatari kweli
 
shut up hujaoa wewe hujui uchungu wa kuchapiwa
 

Sijaoa na sina mpenzi.
Imetokea nimewaza hivyo.
 
rudisha kwao kijijini unasuburi nini tena hapo!
 

Nataka kuona mawazo ya wadau. Sijaomba ushauri.
 
Sijaoa na sina mpenzi.
Imetokea nimewaza hivyo.
aaaaaaah nimekuelewa mkuu nilijua ni real story,sasa kama bado hujaoa ukianza na fikra hizo utaahirisha kuoa mkuu,ungeingia kwanza uonje uhondo wa ngoma kwanza
 
Kule USA, wanaiita. " Worst case scenario"
 
Mwanamke mzinzi ni kumuacha tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ni kweli kabisa mzee wa Blackberry

Dunia ya sasa aiitaji kisasi wala nini kuja kufa na presha au kufungwa jera. Ukiona mtu upo nae kimapenzi alafu anakuwa mjanja mjanja unaachana nae, na ndio maana wanaume/wanawake wana sifa zote za kuwa katika maisha ya ndoa wanashindwa kutokana na kuendekeza ngono zisizo na malengo yoyote na kutaka kuumizana vichwa
 
Mkuu hata mie sikumuelewa hapo.
 
Nimeuliza swali, usiniulize swali hilo hilo.
Sina jibu ndio maana nimeuliza humu. Na sijawahi kukutana na 'scenario' hata moja wapo.
Ok,kwa upande wangu nitaita waandishi wa khabari na polisi na mashahidi.
 
Huwezi jua utakachokifanya kwa sasa, itakapokutokea ndo utafahamu kwa wakati huo
 
Jawabu za hapa hazitokupa jibu sahihi inategemea wakati wa hayo matukio, mapenzi yako kwa mkeo na pia uaminifu wako katika ndoa hapo utajua cha kufanya
 
J33 na mwanaume mzinzi afanyweje?yaan huu upuuzi ndio si upendi kabisa,yaan mnajiona bora nyie viumbe?mpaka kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…