ukiona hasira inakuzidi nguvu tafuta bia tu, piga mbili kwanza kichwa kikae sawa halafu ongea na mtu aliekukwaza, lazma muafaka upatikane kwa amani kabisa.. hata ukikwazana na mama watoto kapige bia rudi home, ukimwona lazma utamshushia mabusu, atabaki anashangaa tu..
IT WORKS FOR ME.
Niliwahi kuambiwa na baba yangu kuwa siku zote unatakiwa uwe mtulivu wakat Wa hatar hvyo hata. Mm itanibidi nitulie kabla ya kuchukua uamuzi'Scenario' namba moja:
Unarudi nyumbani toka mizunguko yako ya kila siku, unafika nyumbani hamadi unakutana na mke wako anakusaliti na mwanaume mwingine nyumbani kwako.
'Scenario' namba mbili:
Unapata taarifa kuwa mke wako wa ndoa anakusaliti, unafanya uchunguzi na kujiridhisha ni kweli anafanya hivyo. Na ushahidi unao.
Sasa naomba uniambie, wewe utafanya nini ukikutana na 'scenario' moja wapo hapo juu. Yani nataka uniambie ile 'immediate action' utakayoichukua ndani ya dakika moja unaposhuhudia suala hilo.
Sitaki uniambie utafanya nini baada ya siku au week au miezi kupita baada ya kitendo hiko.
Nadhani nimeeleweka.
Ndani kwako au kwenu?ukichukia ondoka weweScenario 1:
Nitawapongeza kwa ujasiri walionao kugegedana ndani kwangu.
Scenario 2:
Nitawajulisha kuwa nimefaham mambo yao.
Conclusion.
NITAMFUKUZA.
Sijasema kwetu.....ni KwanguNdani kwako au kwenu?ukichukia ondoka wewe
Sawa kabisa inatuhusu sisi we kaa kimyaooh mie nasoma tu hapa sicomment
Scenario 1:
Nitawapongeza kwa ujasiri walionao kugegedana ndani kwangu.
Scenario 2:
Nitawajulisha kuwa nimefaham mambo yao.
Conclusion.
NITAMFUKUZA.
Kuna mambo mpaka yatokee ndo unajuwa cha kufanya....'Scenario' namba moja:
Unarudi nyumbani toka mizunguko yako ya kila siku, unafika nyumbani hamadi unakutana na mke wako anakusaliti na mwanaume mwingine nyumbani kwako.
'Scenario' namba mbili:
Unapata taarifa kuwa mke wako wa ndoa anakusaliti, unafanya uchunguzi na kujiridhisha ni kweli anafanya hivyo. Na ushahidi unao.
Sasa naomba uniambie, wewe utafanya nini ukikutana na 'scenario' moja wapo hapo juu. Yani nataka uniambie ile 'immediate action' utakayoichukua ndani ya dakika moja unaposhuhudia suala hilo.
Sitaki uniambie utafanya nini baada ya siku au week au miezi kupita baada ya kitendo hiko.
Nadhani nimeeleweka.
Hahahaha Mkuu, hii mada ni kwa wanaume waliooa sio wavulana walioolewa au wanaolelewa (MARIO).Nakama ikiwa nyumba ni ya mwanamke.
Utapataje ujasili wa kumfukuza ?