Labda wewe ungefanya nini?'Scenario' namba moja:
Unarudi nyumbani toka mizunguko yako ya kila siku, unafika nyumbani hamadi unakutana na mke wako anakusaliti na mwanaume mwingine nyumbani kwako.
'Scenario' namba mbili:
Unapata taarifa kuwa mke wako wa ndoa anakusaliti, unafanya uchunguzi na kujiridhisha ni kweli anafanya hivyo. Na ushahidi unao.
Sasa naomba uniambie, wewe utafanya nini ukikutana na 'scenario' moja wapo hapo juu. Yani nataka uniambie ile 'immediate action' utakayoichukua ndani ya dakika moja unaposhuhudia suala hilo.
Sitaki uniambie utafanya nini baada ya siku au week au miezi kupita baada ya kitendo hiko.
Nadhani nimeeleweka.
'Scenario' namba moja:

HIYO NDIO TZ swali hujibiwa na swaliNimeuliza swali, usiniulize swali hilo hilo.
Sina jibu ndio maana nimeuliza humu. Na sijawahi kukutana na 'scenario' hata moja wapo.
Mkuu hawezi akanishinda hata siku moja. Niko fiti sana kwa upande wangu sijui wewe huko.Na ikitokea huyo muhusika anakuzidi nguvu na ujanja?
Nyinyi ndio huwa mnashindwa kufanya chochote.....aidha unazimia, au unapiga ukunga!!!!!!Mimi nipo katika imani ya dawa ya moto ni moto,
Msumari kwa msumari,
Nitakayo anza kuyafanya mimi, ataona kaburi linatusubiri wakati wowote,
Nitayafanya wazi, wazi na mpaka kwa ndugu zake.