Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,888
Mkuu, ndio wapi tena huko!?Mzee wa KAKUMBA,vipi mauaji ya Albino
Mkuu, ndio wapi tena huko!?Mzee wa KAKUMBA,vipi mauaji ya Albino
Mbunge wa Geita vijijini hutumia mitandao ipi ya kijamii? maana nimefanya utafiti sijamuona twiter,Instagram,wala facebook
Jidanganye! Jamaa ana bonge la iPhone
Kakumba tamka /kaakumba/ilikuwa dhahabu feki iliyokuwa ikiuzwa na watoto wa Geita akina mh,na Geita iliongoza kwa mauaji ya albino 2015.Mkuu, ndio wapi tena huko!?
Sawa mkuu, ngoja niangalie kwenye AtlasKakumba tamka /kaakumba/ilikuwa dhahabu feki iliyokuwa ikiuzwa na watoto wa Geita akina mh,na Geita iliongoza kwa mauaji ya albino 2015.