shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
ni mkristo safi sio mtu safi......tukimpa urais dunia nzima itatushangaa....kwa nnchi hii imeishiwa na wsomi.......ikulu hakika itakuwa PAROKIA.....
90% tayari zimetekelezwa.
yaani mi natamani hata waeke jiwe kuliko hili lichama lenye majitu yasioshiba masura na matumbo makubwa ka kiboko!Leo naona umeamua kuja kivingine wewe MDUBAI? ehe tuambie unaona chama kipi kinafaa kuwa mbadala wa CCM?
View attachment 140356SODOMA NA GOMORA a,k,a DUBAI
View attachment 140357CHADEMA kapakatwa na CCM
View attachment 140363
View attachment 140364
View attachment 140366TEJA+KIROBA
View attachment 140367teja
View attachment 140369USALITI
Kwanini usiturudishie??? Kila kukicha watu wanarudisha na kupewa kadi. Yaani we mzee ni mtu mzima na kichwani
hapako vizuri??? Umeshastaafu?
CHADEMA ina mapadre na wachungaji wengi sana..Ila sijawahi kuwaona maimam na mashekh.
Naona TataMadiba amemaliza shift yake sasa umempokea
dr.slaa alivyokuwa ccm, alipendeza na kunawiri sana. lakini toka aanze kuvaa magwanda ya chadema kapaukaaaaaaa.....kakondaaaaaa.......kazeeekaaaaaa.......utafikiri ana kwashiokor
Nendeni mkawaruhusu kwanza ZITTO na KITILA MKMBO watoe mawazo yao ndipo mrudi kuwarubni wananchi. Viongozi wenu waache biashara ya SODOMA na GOMORA kule DUBAI na kwingineko ndipo mje kwa wanachi, bila hivyo imekula kwenu. Mkubali ufisadi wa Kukataa kukaguliwa mahesabu ukaguliwe na CAG ndipo mrudi kwa wananchi, Muondoe mshahara wa mil 12 kwa SLAA bila kazi. Uzeni jumba la kifahari la SLAA kule mbezi beach kwa vile ni kodi za wananchi zile haipendezi hivyo hasa ukizingatia kuwa chama bado ni kichanga , hakina miradi kamailivyo CCM.
CCM ni chama sikivu chenye kutekeleza sera zake kwa weledi wa hali juu; tukuulize wewe zaidi ya ukabila na ukanda unaichukia CCM kwa sababu zipi?????
8: تكلمني متى م فضيت ؟ ارد عليك متى م بغيت..
samahani naomba kuuliza , WEWE NI MTOTO AU NI MKE WA KIONGOZI WA CCM ?
Sema mtakachoifanyia hii nchi siyo kuuliza maswali yakichochezi hapa.