shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
ni mkristo safi sio mtu safi......tukimpa urais dunia nzima itatushangaa....kwa nnchi hii imeishiwa na wsomi.......ikulu hakika itakuwa PAROKIA.....
unataka kusema kikwete au lowasa ni wasomi zaidi ya dr slaa?????
naona mahaba yamekupofusha!