Swali kwa wanandoa

Vp kuhusu watu wanao kutafuta kwa ubaya?au jitu linalo mmendea wife na lipo jilani na wewe'c ndio litakamilisha mipango yake kwa urahisi zaidi?Mtazamo wangu km kunadharura bado kuna number za cster,kaka,uncle,baba na wengineo
 
Back
Top Bottom