Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,252 Reaction score 10,497 Nov 25, 2011 #41 kongosho said: Babu anaelewa ndo mana kakuelewesha kirahisi, wengune twazunguka zunguka maana hata sie hatuelewi vizuri Click to expand... babu mwenyewe mjanja mjanja, hatoi majibu direct.
kongosho said: Babu anaelewa ndo mana kakuelewesha kirahisi, wengune twazunguka zunguka maana hata sie hatuelewi vizuri Click to expand... babu mwenyewe mjanja mjanja, hatoi majibu direct.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Nov 25, 2011 #42 @TF, wanashangaa duduz? Ha ha ha huu usanii kabisa.
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,652 Nov 25, 2011 #43 Husninyo said: haya babu. Nasikia vibabu vya zamani havipendi kubishiwa. Lol. Click to expand... halafu laana ya babu ni mbaya wewe....Hebu nenda kalale basi...Waachie wachumba wahangaike kutafuta mahari na blanket ya Babu!
Husninyo said: haya babu. Nasikia vibabu vya zamani havipendi kubishiwa. Lol. Click to expand... halafu laana ya babu ni mbaya wewe....Hebu nenda kalale basi...Waachie wachumba wahangaike kutafuta mahari na blanket ya Babu!
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,652 Nov 25, 2011 #44 Husninyo said: babu mwenyewe mjanja mjanja, hatoi majibu direct. Click to expand... Weee...Hivi hujui kwamba majibu ya direct yanapunguza life span?? Au hutaki na wewe siku moja utembee na mkongojo!!
Husninyo said: babu mwenyewe mjanja mjanja, hatoi majibu direct. Click to expand... Weee...Hivi hujui kwamba majibu ya direct yanapunguza life span?? Au hutaki na wewe siku moja utembee na mkongojo!!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Nov 25, 2011 #45 babu mwambie akakung'oe ndevu na mvi Hii kazi itamfaa sana alafu aone kibabu kinavyosinzia kwa jicho moja Dark City said: Yaani hadi hapo bado una mashaka na maelezo ya Babu...Hebu jiandae tukale mahari ili ujionee mwenyewe kwa vitendo!! Audio ni ngumu sana ila audio/visual ni very very simple!! Try it! Click to expand...
babu mwambie akakung'oe ndevu na mvi Hii kazi itamfaa sana alafu aone kibabu kinavyosinzia kwa jicho moja Dark City said: Yaani hadi hapo bado una mashaka na maelezo ya Babu...Hebu jiandae tukale mahari ili ujionee mwenyewe kwa vitendo!! Audio ni ngumu sana ila audio/visual ni very very simple!! Try it! Click to expand...